Search results

  1. S

    Naomba hoja zenu "mkapa na wanyama nani bora?"

    Haingii akilini kumwona Mzee Mkapa akuhudhuria midahalo/majukwaa ya siasa despite of machafu yote aliyotenda wakati akiwa ikulu. Kashfa ya Mgodi wa kiwira, ilitosha kumpeleka huyu mzee SEGEREA maisha. Ni sawa na wanyama, wakibarehe/kuvunja ungo, hawana heshima wala taadhima. Wanachojali ni...
  2. S

    First Lady umesahau ulikotoka?

    Huna maana kabisa wee, unamdhalau mwanamke kiasi hicho, where are from? Unadhalau mchango wa mke katika jamii? Leo ni Jpili, nenda kanisani kaungamena Uombe Ufunuo.
  3. S

    First Lady umesahau ulikotoka?

    Siamini mwalimu wa UDSM anasema maneno ya dharau kwa walimu wa shule za msingi. Bila wao usingefika ulipo, hata hapo UDSM pia hamna hadhi, mnajikomba kwa watawala mteuliwe. Kama ungekuwa sio mwoga mbona haujatoka hata siku moja kuwatetea wanafunzi wako wanaopewa posho 2000 kwa week? Go back to...
  4. S

    First Lady umesahau ulikotoka?

    Nakumbuka kabla jk hajawa JK, Mama Chalma alikuwa mwalimu pale sinza. Kila mwisha wa mwezi,tulipigana vikumbo wilayani kugombea mishahara. Najua kabisa, hali ile hakuipenda, maana ni hatari kwa walimu na ulikuwa ni usumbufu mno. Wakati mwingine walikuwa wanasota kwa masaa kibao, ikibidi kurudi...
  5. S

    Je ukiambatana na mwizi, je nawe ni mwizi?

    Kipindi kile cha maduka ya kaya, nilikuwa natoka nyumbani mapema sana kudai kuwahi foleni. Ukweli haukuwa foleni bali ilikuwa tunawahi kwenda kuvuta KAYA. Sasa siku moja Baba akaniuliza kuhusu tabia na mienendo ya marafiki zangu. Nikamjibu wao ndio wanavuta, mimi hata sigara sivuti. Baba akasema...
  6. S

    Joshua Nassari timiza ahadi yako ya kushusha bei ya sukari Arumeru Masharaki

    Ahadi alitoa, likini zina kipaumbele, Bei ya sukari ni mfumo ambao wasimamizi wake ni ccm chini ya meya wa Arusha na Mkuu wa Mkoa/Wilaya. Mpeni muda, na tumuunge mkono kufanikisha aliyoahidi
  7. S

    Nassari kufikishwa mahakamani kwa kuchimba visima bila kibali.

    Mahakama kuu kanda ya arusha ni tawi la ccm, waacheni wapeleke hizo kesi dhidi ya CDM, kuangamiza Upinzani
  8. S

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    Mh Mdee ni Mbunge wa Kawe na moja ya kazi yake ni kuwatetea wananchi yake. Pamoja na tabia na mwenendo wa Lulu, bado anayohaki kisheria kuwakilishwa. Lulu aliongopa umri wake, lakini Kanumba alimjua Lulu tangu akiwa Baby maana waliact pamoja. Kanumba alitumia nafasi yake kumwaribu Lulu kwa kiasi...
  9. S

    Ardhi ya Tanzania ndani ya Craiglist/ebay

    Hajabu kuona watawala wetu tuliowaamini wanauza ardhi yetu kwa wageni kwa bei ya kutupa bila kujali maslahi ya wazawa. Je haya ndio mafanikio ya miaka 50 ya uhuru?
  10. S

    Mwenyekiti wa CCM Morogoro ampiga askari Msamvu kisa kasimamishwa na traffic

    CCM imeshika dola, police, mahakama zote zipo chini yao, Nani atakayemuuliza? Lakini yana mwisho haya
  11. S

    ‘Mwombeeni JK aepuke mapepo yanayomfuata Ikulu’ - Siamini kama kauli hii anaitoa waziri nchini!

    Lukuvi ni mmoja mawaziri waliokunywa kikombe, Labda ugonjwa uliompeleke kunywa kikombe umemrudia hivyo kachanganyikiwa
  12. S

    Mwigulu, Nape na Lusinde mnatupeleka wapi?

    Baada ya chaguzi ndogo mbili,Igunga na Arumeru Mashariki, tumeona vitendo vya umwagaji damu, lugha za matusi na rushwa. Mh Mwigulu, msomi wa hali ya juu na meneja wa kampeni nini tadhimini yako baada ya hizi chaguzi? Mh Nape nawe pia ni msomi, tupe tafsiri ya ccm kuwa na walinzi (green guards)...
  13. S

    "Winning is about reaching"

    CDM himahima vijijini, mjini waliobaki kuwa ccm ni mafisadi, waroho wa madaraka, waoga na wala rushwa
  14. S

    Hukumu ya lema, Yamvua JK urais kisheria

    Kama tilivyosoma vifungu vilivyotumika kumwadhibu Mh Lema, Je 2010 JK na ccm hawakuyatenda? 1)Kumkashifu Dr. Slaa masuala ya mapenzi 2)Siasa za kibaguzi 3)Rushwa
  15. S

    CHADEMA acheni kupoteza muda, Tamko lishatolewa na Mtei

    Mzee Mtei anahaki kama mtanzania kutoa maoni yake, maoni hayo sio msimamo wa CDM Mkapa kusema Vecent Nyerere sio mwana ukoo wa nyerere, je huo ni msimamo wa ccm? Wasira kuchapa usingizi Bungeni, huo ndio msimamo wa ccm?
  16. S

    Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

    Hajui alitendalo, siku moja itafika, Lusinde atalia na kusaga meno kwa chuki anayoieneza ktk jamii iliyofunikwa
  17. S

    Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

    Tatizo la Majajde wa Bongo wanajipendekeza kwa JK, ili awape fadhila wakistaafu. Unaona Agustino Ramadhani, Lubuva, Msumi, Mihayo. Angalia wale majudge ambao mitizamo yao ni maadili ya kazi zao tu hakuna siasa wapo wapi baada ya kustaafu?
  18. S

    Batilda katuma barua kwa rais kutaka kuacha ubalozi na kuja kugombea ubunge Arusha

    Kifungu kilichotumika kumvua Mh Lema Ubunge, Tanzania haina Rais anayetambulika kisheria. 2010 JK na ccm walimtukana Dr.Slaa, pia walieneza siasa za kibaguzi, tukiachana na rushwa ya fulana, vitenge na kofia. Dr.Batilda hana haja ya kuandika barua kwa JK, kisheria JK kapoteza sifa za Urais.
  19. S

    Napinga kwa nguvu zote CHADEMA kutokata rufaa

    Mh nakubaliana na wewe kabisa, pia naomba kuongeza juu ya mapungufu niliyoyaona juu ya hukumu hii "walalamokaji walidai kumsikia Mh Lema alisema Dr. Batilda sio mwaminifu ndio maana alichepuka na mimba ya Mh Lowasa" na amehukumiwa kwa kosa hili. sasa mapungufu ya kisheria ktk kosa hili 1)Kama Mh...
Back
Top Bottom