Nianze kuandika waraka huu mfupi, kwanza kwa kuweka bayana ufafanuzi halisi wa kile ninacho kusudia kufikisha kwenu wana jamii na Watanzania wote kwa ujumla ambao mtapata nafasi ya kukutana na ujumbe huu popote pale mlipo. Katika waraka huu nitakwenda kuzungumzia mambo yanayoendelea hapa nchini...
Nianze kuandika waraka huu mfupi, kwanza kwa kuweka bayana ufafanuzi halisi wa kile ninacho kusudia kufikisha kwenu wana jamii na Watanzania wote kwa ujumla ambao mtapata nafasi ya kukutana na ujumbe huu popote pale mlipo. Katika waraka huu nitakwenda kuzungumzia mambo yanayoendelea hapa nchini...
Nianze waraka huu mfupi kwa kupeleka ujumbe(salamu) wangu kwa vyama halisi vya upinzani CHADEMA,NCCR,CUF na ACT Wazalendo kuhusu yanayojiri Bungeni.Niseme tu kuwa nimekuwa nikifarijika na hoja zenu nzito na za msingi zinazogusa na kuifariji jamii ya watanzania ambao wengi ni masikini.
Niweke...
Tanzania limekua taifa la huruma sana na huruma ikizidi huwa dhambi. Wanasiasa wametufanya wananchi tuwe na fikra na maamuzi ya huruma. Tunawaamini tunawachagua, wanatugeuka, wanarudi kwa kupitia sura ya vyama vingine au mitazamo mingine, wanaomba msamaha, tunawaamini tena, tunawapa nafasi tena...
SIMAMISHA NA FUKUZAFUKUZA JE NDIO KIPIMO CHA UONGOZI BORA? SHERIA ZISIPOFUATWA TUTAJENGA TAIFA LA CHUKI NA HOFU.
Nianze waraka huu mfupi, kama salamu zangu kwa serikali ya awamu ya tano ya chama cha mapinduzi na kwa watanzania wote kwa ujumla. Ni wazi kwamba sasa idadi ya wafanyakazi wa umma...
Muda ndo kitu muhimu na cha msingi sana.lakini muda ndio huo ashapewa na bado dalili hazielekei kule kunakohitajika. Binafsi nitaendelea kusema hadi hapo nitakapoona neema...
Katiba mpya si suluhisho.tulishaona kilichopatikana kwenye Bunge maalum la katiba kikaitwa katiba inayopendekwa sasa sjui kama kuna jipya pale ama kama kuna suluhisho...
Una watoto wanne juma, hamisi, samia na hasani. Juma ana familia yenye jumla ya watu 3, ambao ndio wanamtegemea yeye, hamisi watu 4, samia 7 na hasani 12. wote wana kipato lakini vipato ambavyo si sawa. Na msaada wanaohitaji toka kwako ni tofauti. Juma yeye anahitaji kiasi fulani tu toka kwako...
Nilishawahi kusema hapo awali wakati wa Jk kwamba uraisi si lele mama.Na sasa narudia tena wakati huu wa Mjomba Magu, na ninaomba wanajamii na umma kwa ujumla utambue Kinachonituma, kusema haya ni uteuzi wa wakuu wa mikoa, amri yake katika kuwaapisha(amri kwa maana ya hotuba)uchaguzi wa zanzibar...
Hatuna jeshi la polisi, hatuna ulinzi, hatuna amani, sio zanzibar tu bali Tanzania yote. Kilichopo ni tawala za mabavu chini ya vikosi ya ulinzi wa mabavu hayo. Pengine wapo polisi baadhi hawajui nini wanachokitumikia ama pengine wanajua na hawako tayari kuacha kukitumikia icho kinachodaiwa kuwa...
Hatuna jeshi la polisi, hatuna ulinzi, hatuna amani, sio zanzibar tu bali Tanzania yote. Kilichopo ni tawala za mabavu chini ya vikosi ya ulinzi wa mabavu hayo. Pengine wapo polisi baadhi hawajui nini wanachokitumikia ama pengine wanajua na hawako tayari kuacha kukitumikia icho kinachodaiwa kuwa...
"Nchi hii sio nchi huru na ni nchi isiyo na haki"
Siyo wakwanza kuyatamka maneno haya, yamesemwa na yataendelea kusemwa na kadiri siku ziendavyo ukweli huu utaendelea na unaendelea kujithibitisha.
Sita subiri siku 100 zipite ati ndo nikosoe serikali ya Pombe, hapana siwezi nyamazia...
Kinachofanyika ni watu maarufu kuanzia ngazi ya kule juu, kuvaa mabuti, glovsi, kushika mafagio,kupigwa picha na kuzituma katika mitandao ya kijamii huku tukiamini kuwa ndo usafi umefanikiwa. Ni aibu hii. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuwa huru na hatutokua huru hadi siku tutakayojua kuwa hatupo...
Nauleta uzi huu kwenu wana jamii, kwa wana CHADEMA wenzangu na kwa viongozi wangu wa CHADEMA. Ninavyofahamu utaratibu wa uteuzi wa viti maalum ndani ya chama una vigezo vyake ikiwa ni pamoja na;
1.Kueleza jimbo ambalo mwanachama anagombea, mchango wake kwa chama, ushiriki wake katika ujenzi wa...
Katika kuisaka haki sacrifice lazima iwepo.kila mtu anayeenda kupiga kura na kuilinda anaenda kwa hiari yake.huyo hasani na jonni wanaenda wakijitambua. Na kwenye sacrifice hatuwwzi jitoa wote.tunajitoa wachache ili wengi waendelee kuishi katika haki.
Na niseme kitu kimoja tu.ccm ndo wako...
Mwakyembe kasoma sheria lakini anashindwa kuelewa ushahidi unaweza kukusanywa na ukawa na kila chembe ya ukweli, lakini haimanishi mhusika anahatia kwa Mazingira mengine ya kawaida. Mastermind wa crime kahakikisha hakuna trace inayoelekea kwake.mjomba kahakikisha anaekamatwa ni small fish tu...
Asante mkuu kwa kunikumbusha.ukijaribu pitia historia, majina ya viongozi wa zamani na wa sasa ni wale wale.koo zile zile ndani ya ccm na bado wanarithishana hadi sasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.