Search results

  1. Jallen

    Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa kipo Jijini Dodoma -Swaswa, Mtaa wa Kidongo Chekundu. Ukubwa wake ni 25 × 30 Bei 7M. Maongezi yapo Hakijapimwa. Mawasiliano. 0716 979912 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Jallen

    Kweli maendeleo hayana Chama?

    Kwa waraka huu wa Mh. Meya wa Ubungo ni aibu kwa serikali yetu na CCM. UBUNGO NA JIJI LA DAR ES SALAAM INAVYOATHIRIWA NA HUJUMA YA UKWAMISHWAJI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA BENKI YA DUNIA Assalaam Alaykum Ndugu wananchi wote. Napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha juu ya kukwama kwa...
  3. Jallen

    Nape Nnauye na Kinana

    Sina unasaba na chama hiki ila hawa watu ndio waliorudisha imani ya chama kwa watu. Hawa ndugu walizunguka Tanzania nzima wakihamisha wanachama na wananchi kuhusu CCM Walipiga kelele kuhusu Waziri wa maji Maghembe waziri wa kilimo kuwa hawawajibiki ipasavyo kuhudumia wananchi. Kazi...
  4. Jallen

    Anthony Mtaka, Mwanri wanafaa Dar

    Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar. Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake. Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima...
  5. Jallen

    Kikwete na Madereva wa bodaboda

    Kikao kinaendele Blue Pearl Ubungo Plaza kati ya Mheshimiwa Rais Kikwete na madereva wa bodaboda na bajaji. Wanajadili namna ya kuwasaidia. Swali hapa ni kwa nini hakuwasaidia muda wote hadi iwe sasa? Na je kwa muda uliobaki anadhani bado anaweza kuwasaidia? Kwa nini hili jambo asiliache...
  6. Jallen

    Jimbo la Dodoma lapandishwa hadhi na kuwa jimbo kuu, Kinyaiya awa askofu wake Mkuu

    2014-11-06 Vatican Radio Pope Francis has erected the Ecclesiastical Province of Dodoma in Tanzania. As a new Archdiocese, Dodoma now becomes a Metropolitan diocese with Singida and Kondoa as suffragan dioceses. The Holy Father has at the same time appointed as Archbishop of...
  7. Jallen

    Tumbo Kujaa Gas

    Naombeni ushauri juu ya tumbo kujaa gas na kutopata choo, nitumie njia gani kuondokana na adha hii?
  8. Jallen

    Tuwafute Kazi, Wapo wengi wanazitaka na wenye sifa

    Kumekuwa na mjadala kuhusu matangazo ya bunge, eti yasioneshwe moja kwa moja kwa kuwa wabunge wanafanya ufutuhi kwa vile wanajua wanaonekana na waajiri wao. Wabunge wanaoshabikia kutorushwa kwa matangazo 'live' nadhani hawajui huko wamefikaje. Waajiri wa wabunge ni sisi wanachi na ndio...
  9. Jallen

    Kigoma: Ndege ya ATCL yapasuka kioo ikiwa angani...

    ilikuwa ni katika uzinduzi wa safari za kigoma - dar source: ITV
  10. Jallen

    Maamuzi magumu - Lowasa atasimama?

    Lowasa amekuwa akitumia kaulimbiu ya maamuzi magumu akiwa ndani na nje ya bunge, hivi kweli serikali ikiamua kuchukua maamuzi magumu atasimama? Hajui ana kesi ya kujibu kuhusu mali zetu?
  11. Jallen

    Pinda na Uwaziri Mkuu

    Kwa kuwa katiba inasema Rais atashauriana na Waziri mkuu kuteua mawaziri basi bila shaka waziri mkuu wa kushauriana nae ni Pinda. Kama Pinda alishindwa kuwakemea mawaziri waliopo je hao watakaoteliwa leo atawaweza. Hii ni kujaza mvinyo mpya kwenye chupa kuukuu. Baraza lilitakiwa livunjwe...
  12. Jallen

    Lusinde na matusi!!!

    Member picture First Name: Livingstone Middle Name: Joseph Last...
Back
Top Bottom