Search results

  1. Mboya Allie

    Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    July 2020, sema siku zinakimbia sana. Ilikuwa jana tu
  2. Mboya Allie

    Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Balozi Agustino Mahiga pamoja na Jaji Agustino Ramadhani vifo vyao vilifuatana, na wote walifariki 2020 na sio 2021.
  3. Mboya Allie

    Profile picture yako ina maana gani?

    Ni kweli hata mimi namkubali sana huyu mzee, kumbe tupo wengi mkuu. Asante sana
  4. Mboya Allie

    DC Muro adai Mh. Nassari amehama Arumeru na hatatui shida za wananchi

    Mimi naona uwepo wake Arumeru ni wa kimkakati kwa waliomteua, lengo kuu ni kuua nguvu ya Chadema hapo Arumeru.
  5. Mboya Allie

    Hatari! Dada aibukia kwa RC Makonda na kudai ametelekezwa na baba yake ambaye ni Mzee Edward Lowassa

    Inawezekana huyu dada ndo alikuwa lengo kuu la kufanikisha movie kampeni hii, so hao wamama wengine wameitwa tuu lakini target kubwa ilikuwa ni ngonjera za huyu dada, halafu mbona ni mzee sema anaigiza kama mtoto vile.
  6. Mboya Allie

    Yupo wapi Mtulia wa Kinondoni?

    Kweli kabisa mkuu, upo sahihi
  7. Mboya Allie

    St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

    Yani yalikuwa maisha fulani yaliyokamilika, mtu mnakaa wote miaka 7 pamoja halafu sababu ya utoto tulikuwa tumesharidhika na hayo maisha na tuliona kawaida hakukuwa na mtu aliekuwa akiyachukulia maisha serious kihivyo ili ayabadirshe....kiukweli kipindi hiko pamoja na changamoto zote lakini...
  8. Mboya Allie

    St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

    Maisha ndugu yangu.....hapo kutoka nyumbani mbaka shule ni km9 kichwani umebeba mzigo wa kuni kwa ajili ya kwenda kupikia uji na kujikinga na baridi, mgongoni begi na mkononi fagio na jembe..kwa maisha hayo lazima ngozi ikose Nuru na ukomae.
  9. Mboya Allie

    St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

    Hapo nipo darasa la sita, mimi ndo huyo niliejizungushia duara jekundu...nilikuwa na vituko Hatari, fkiria kwa hako kamwili nilikuwa navaa viatu vya mzee wangu huku nikijaradia nguo zaidi ya 4 kwa ajili ya kujikinga na fimbo..watu tumetoka mbali.
  10. Mboya Allie

    Ili kuwaje mpaka ukajikuta umepata maumivu ya mapenzi?

    Mimi hapa nishajiandaa kisaikolojia kwa lolote lile 7bu nina mahusiano na binti ambaye ameshanionya nisi fall kwake, sababu ana mtu wake na ni majukumu tu ya huyo mtu wake ndo yamepelekea wasiwe karibu, so japokuwa napata kila kitu ananijali na kunisikilza ila najua soon haya mambo yatabaki stori..
  11. Mboya Allie

    Ili kuwaje mpaka ukajikuta umepata maumivu ya mapenzi?

    Kweli kabisa mkuu...umenifundisha kitu
  12. Mboya Allie

    Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

    Brilliant one....Kipanya alisharitabiri hili kabla, muda utatwambia.
  13. Mboya Allie

    Usalama na maendeleo ya Rwanda chini ya Rais Kagame

    Nimejifunza vingi sana kutokana na uchambuzi wako uliotukuka.....Asante sana, na ubarikiwe mkuu.
  14. Mboya Allie

    Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

    Asante sana kaka, sikuyajua haya mwanzoni
Back
Top Bottom