Shukrani invisible...kwa nukuu; adui mkubwa wa watanzania ni ujinga. Watu wanauawa kwa kutokujua nia ya serikali kupeleka gesi Dar es salaam, watu hawajaelimishwa na kuwekwa wazi kwanini gesi ipelekwe Dar. Wengi wamekimbilia kutumia mabavu wakati hoja ingeweza kutatua tatizo. Wananchi...
Habari zenu wanajf. Hv naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia maujanja jinsi ya kuirudisha laptop iliyoibiwa au hata kumtambua mwizi wangu.. unaweza hata kunipm au kuanika hapa jamvini.
Lipia kwa m-pesa sh 30000, hapo unarushiwa password, then nenda cafe yoyote fungua link ya online registration, utajaza password ambayo ulipewa via m-pesa, baada ya kujaza utaruhusiwa kudownload form. soma form vizuri utapa maelezo. thanks.
Huyu jamaa anamiliki shule ya secondary kabisa kule mbeya mjini. Kumbe hata yeye lugha haipandi, halafu anavyowachapa wanafunzi wake kwa kufeli english utafikiri yeye englishman. Sio mbaya akijifunza kwa ushauri wako mdau, katuabisha sana huyu.
Utazikuta chuoni hukohuko, maana hata hapa Eckernforde Tanga wamekuja wenyewe. Wanadai kuwa gharama ni Tsh 50400 kwa mwaka. Nenda chuo tu mkuu, inawezekana ikawa kila chuo kinautaratibu wake.
Halafu hii system inatuchanganya wengi kweli. Yaani utakuta mtu kaandikiwa admitted kwenye chuo fulani, lakini cha kushangaza kwenye chuo husika jina hakuna. Huu ni msiba jamani...
Jamani wadau naombeni ushauri wenu. Mdogo wangu amepata division 3 ya points 14 ktk combination ya HGL. Sasa hajui kama anaweza kupata chuo. WanaJF naomba mnisaidie nimshauri afanye applying vyuo gani na kozi zipi ktk vyuo ambazo pia anaweza pata mkopo. Matokeo yake ni History-D, Geography-E...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.