Ushauri katika d.3 ya points 14 (HGL). | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri katika d.3 ya points 14 (HGL).

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mc Chijui, May 2, 2012.

 1. M

  Mc Chijui Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wadau naombeni ushauri wenu. Mdogo wangu amepata division 3 ya points 14 ktk combination ya HGL. Sasa hajui kama anaweza kupata chuo. WanaJF naomba mnisaidie nimshauri afanye applying vyuo gani na kozi zipi ktk vyuo ambazo pia anaweza pata mkopo. Matokeo yake ni History-D, Geography-E, English-E. Aksanteni kwa ushauri wenu.
   
 2. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  chuo anapata! Ila mkopo utakuwa tabu kama hatachagua education
   
 3. M

  Mc Chijui Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama vyuo gani mkuu?...vyenye kutoa kozi ya education.
   
 4. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  chuo atapata ila kwa ishu ya mkopo lazima achague education.

  naomaba ushauri kwa huyu mwenye 3 pts 15 .chem E, BIOS S NA Geog D...JE atapata chuo na mkopo? nashukuru
   
 5. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  utaka asome kozi gani we orodhesha hapa tutakupa vigezo vya hizo kozi by the way naombeni msome bandiko langu(https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/260290-kwa-wale-waliomaliza-kidato-cha-sita-na-diploma-wanaotarajia-kuingia-mavyuoni-someni-hapa.html )au pitieni loan board website HESLB MTAONA TANGAZO LA GUIDELINES ZA WAOMBA MKOPO WA MWAKA HUU SOMENI KWA MAKINI MTAELEWA TU..
   
 6. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
Loading...