Kuna nilichosikia jana kwenye media kwamba ana tabia ya kurekodi wageni mbalimbali nyumbani kwake kwa kamera za siri, kisha ana shurutisha kutoa chochote kitu... hapa amewapata wengi mno... nadhani mengi yanakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app
The term “maize” is derived from the ancient word mahiz from the Taino language — a now extinct Arawakan language — of the indigenous people of pre-Columbian America. Columbus and other explorers took maize back to Europe with them and it spread across the trade routes of Europe, Africa and Asia...
Binafsi huwa najiuliza kwanini iwe afrika tu! Kwanini nchi zilizo endelea asilimia zaidi ya 70% walishie wanyama? Hata hiyo 30% inayobaki bado itatumika kwa matumizi mengine, asilimia kidogo sana inatumika kwa binadamu na sio kama mlo mkuu. Ukiingia Google vizuri utaona matumizi ya binadamu ni...
Nimecheka kama mazuri ... kama sijakosea, ingia Google kisha tafuta matumizi ya mahindi kwa mataifa yanayolima mahindi kwa wingi duniani.. matumizi ya mahindi ni kwa kutengenezea chakula cha mifugo.. kuna majedwali utaona kuwa matumizi ya binadamu ni mwisho kabisa (wametumia neno "kwa matumizi...
Binafsi naona risk sana kiweka fedha nyingi kwenye line ya simu. Likitokea la kutokea, hiyo fedha itakua zawadi kwa mtandao husika. Kuna dogo dada yake alifariki akiacha line ya simu ina fedha ya kutosha, hakuwahi kuipata. Bank inafaa zaidi...
Ikumbukwe kuwa sio kila mti unafaa kwa karatasi... misitu iendelee kuwepo, ukitaka kujua umuhimu wa misitu nenda Google kisha angalia nini kinatokea ziwa Chad, ziwa limebaki kama bwawa la Mindu kwa sababu za kuharibu mazingira.
Kuna program nilikua naangalia jana kupitia chaneli ya Davinci (star tmes), nilichokiona nadhani kitabadilisha mtazamo wangu kuhusu matumizi ya sukari. Vinywaji na vyakula vilivyo sindikwa vinasukari ambayo ukiona kwa macho kiwango cha sukari kinachowekwa, pengine unaweza usivitumie tena...
Kuna pahala nimewahi sikia kuwa 'yupo mkuu wa anga, kazi yake ni kuzuia maombi kwenda juu.. kuvuka hapa si kazi ndogo, binafsi sielewi kwanini awe na nguvu hivi..
Labda pengine tunamtafuta mahali asipokuwepo, ama tumemuacha mbali sana! Maana kuna mafundisho ukiyasikiliza, mpaka umpate ni zaidi ya ngamia kupenya kwenye tundu la sindano... anyway sitaki kukufuru, moto sio mzuri.
Naunga mkono hoja, ila sina imani saana na dini. Nachojua hata babu zangu waliabudu hata kabla ya kuletewa imani za kigeni.. maana walijua ipo nguvu kuliko was, almost jamii zote duniani ziliabudu kwa namna tofauti tofauti..
Niko K/mbero na nina mashamba ya miwa.. kwa hali iliyoko shambani tangu mvua za mwaka jana na hizi zinazo endelea, huwezi kuvuna miwa. Sababu kubwa ni
:- kabla miwa kuvunwa shamba linachomwa moto ili kufukuza wanyama kama nyoka, nyuki nk.
Kuondoa majani yasiyo takiwa (trash) katika shamba.
Ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.