Search results

  1. HOPECOMFORT

    Plot4Sale Eneo linauzwa Dodoma mjini

    [emoji3591]Wadau habari za jioni Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension. [emoji3591]Eneo lina square mitre 373 [emoji3591]Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo kasi [emoji3591] Kutoka eneo lilipo na barabara ya lami (iringa road) ni mita 100 [emoji3591]Bei...
  2. HOPECOMFORT

    Mkopo wa Ujenzi-Nyumba za Biashara

    Habari wadau. Kwa mwenye idea na mikopo ya ujenzi wa nyumba za Biashara.. Naomba ushauri. Nina eneo ambalo tayari kuna nyumba 2 ambazo kwa sasa zipo kwenye hatua za mwisho niingize wapangaji. Nikiwa naendelea na hili nikapata wazo kama kuna bank inayo toa mikopo ya aina hii,kwa riba nafuu...
  3. HOPECOMFORT

    Hi ni Kwa Marafiki Wote

    Wengi Wamekukuta Njiani Hawajui Ulikotoka na Wala Hawajui Njia Uliyopitia Hadi Ukafika Hapo.Lkn Wamejivika Umahiri Wa Kukuchambua na Wamegeuka Watabiri Wa Maisha Yako. Usitumie Muda Mwingi Kuwafikiria kwani Safari Ni Yako na ni Ndefu Sana. Achana Na Wapita Njia Elekeza Nguvu Zako Ktk Ndoto Zako...
  4. HOPECOMFORT

    Original comedy, kwanini lakini?

    Ni muda sasa umepita toka 2pate taarifa kutoka vyanzo tofauiti vya habari isipokua nyie kua mwenzenu ni mgonjwa(JOSEPH SHAMBA). Kupitia picha zilizowekwa hapa kweli mwenze2 uyo alioneonekana kua na hali mbaya sana. Swali langu kwenu:Ni kweli kwamba amyaoni maswali yanayo ulizwa hapa kila...
  5. HOPECOMFORT

    Though ur a married man, i will always love u

    Naandika nikitambua kua ww ni mmoja wa member wa jf na naamini pia utasoma topic hii. Nashindwa kukukumbuka kwa mabaya cse nimebakiwa na mazuri zaidi kuliko mabaya.Nakumbuka tulivyo fahamiana kwa mara ya kwanza ulipo kuja kazini kwangu ambapo na wewe ulikuja kikazi.Tuliendelea kuzoeana mpaka...
Back
Top Bottom