Search results

  1. Owen chimela

    Msaada mafundi Tv hisense

    Naomba msaada ....Tv yangu Hisense 32" imeleta shida kwenye mkanda unaounganisha motherboard (engine) na screen hiv kuna uwezekano wa kupatikana?
  2. Owen chimela

    Heshima kwa Paschal Mayalla

    Mimi ni kijana wa miaka isiopungua 30 lakini kwa uwingi na ujazo wa nyuzi zilizoshiba kwa kiwango Pascal mayalla anastahili kupewa tuzo. Though waliopo CCM na CHADEMA wanamchukia na kumpenda lakini Mimi binafsi naona ni mtu ambae amefungua bongo za waliopo CCM na CHADEMA hata Kama wanambeza...
  3. Owen chimela

    Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

    Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama cha aina yoyote...
  4. Owen chimela

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 2020

    Ni Kama tumekubali matokeo ya October 2020 Kuna dhana ya muda mrefu ya kwamba kimya kingi kimebeba mengi..Kimya kingi kinaweza kua kimebeba uoga,ujasiri,usiri,unyonge au hata umakini hafifu was kuishi kesho Kama leo. COVID 19 Imetutoa kwenye mstari halisi wa tafakari nzito juu ya siasa na...
Back
Top Bottom