Heshima kwa Paschal Mayalla

Owen chimela

Member
Feb 24, 2012
85
219
Mimi ni kijana wa miaka isiopungua 30 lakini kwa uwingi na ujazo wa nyuzi zilizoshiba kwa kiwango Pascal mayalla anastahili kupewa tuzo.

Though waliopo CCM na CHADEMA wanamchukia na kumpenda lakini Mimi binafsi naona ni mtu ambae amefungua bongo za waliopo CCM na CHADEMA hata Kama wanambeza akiwakosoa na kuwashauri.

Siku nikija Dar es salaam natamani nikutane na huyu nguli wa chambuzi za kisiasa
Owen Chimela kutoka Mbozi Songwe
 
Paskali zamani alikua ana heshima kubwa Sana hapa jf... Ikiwemk na Mimi nilikua namheshimu mnoo..sasa hivi namwangalia Kama nyanya mbichi sokoni...
Kwaajili wewe ni peasant unahaki ya kuandika haya

Hana budi kuadimika humu jukwaani. Amechagua kuishi maisha magumu sana. Hata mimi nilikua namkubali sana. Ila kwa sasa namuangalia kwa jicho la makengeza.

Maana hakuna maisha ya ukweli ndani ya CCM bila ya unafiki!! Kwa sasa ni vigumu sana kumuamini Mzee mzima Pascal Mayalla.
 
Paskali zamani alikua ana heshima kubwa Sana hapa jf... Ikiwemk na Mimi nilikua namheshimu mnoo..sasa hivi namwangalia Kama nyanya mbichi sokoni...
Kwaajili wewe ni peasant unahaki ya kuandika haya
Alafu unajua paskali hajui kama Kuna watu wanamjua, huyu jamaa namjuaga tokea anakaa drive in flats pale..... Mtoto wa magorofani hyu
Ila dah Ana stahili teuzi sjui kwann zinampita

Ova
 
Pascal Mayalla,pamoja na kujipendejeza kote,lakini teuzi zote zimempita,Hadi wanachaguliwa kina Katambi, Silinde,lakini yeye pamoja na kuwa ni mtu mzima na mwenye familia inayomtegemea,hajashituka tu kuwa hatakimi kabisa na maccm,yamemfuta hadi kwa WAJUMBE akakatwa.
 
Paskali zamani alikua ana heshima kubwa Sana hapa jf... Ikiwemk na Mimi nilikua namheshimu mnoo..sasa hivi namwangalia Kama nyanya mbichi sokoni...
Kwaajili wewe ni peasant unahaki ya kuandika haya
You said it all. I have admitted in here one too many times that he was the reason for me to join this platform, ila sasa njaa imezidi kwake haahahahahahah
 
Back
Top Bottom