Search results

  1. MKILINDI

    Huu Mwenge usiwe unakimbizwa Dar es Salaam, unatuchosha na kutupotezea muda

    Hamna mwaka ambao mwenge haukukimbizwa
  2. MKILINDI

    Tabia za mke wangu zimenichosha, nafikiria kumuacha

    Hata wa kwako atabadilika..nahisi wanawake hawajakamilika kichwani.
  3. MKILINDI

    Kupendwa ndio huku

    Yape muda... Yape muda..
  4. MKILINDI

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Jitahidi ajichanganye...mnunulie viatu akimbie...ashiriki na wenzake kwenye michezo kama mpira wa miguu... mpe muda wa kujicganganya na wenzake atapata cha kujifunza. Utakuwa umemkuza kwa kumfungia sana. Si enzi zetu.... tulijifunza ya utu uzima tukiwa utotoni utotoni. Kibaba babaa kwa sana...
  5. MKILINDI

    Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

    Tanzania ni kubwa..kuna watu hawajajiharibu na hayo unayosema. Hao unaowataja mfumo umewabeba.
  6. MKILINDI

    Kizazi cha 1978-1985 hatuzeeki. Je, unajua sababu?

    Akili mnawekaga wapi ? Sema vijana tunaoishi dar tuliojopata kimaisha tuliozaliwa hyo miaka hatuzeeki. Kuna watu wamezaliwa miaka hyohyo lakini wamechakaa wapo hapohapo dar then unalinganisha na Riz1 na wengineo walijipata. USI-GENERALISE BOSS
  7. MKILINDI

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Unawekaje namba huku...
  8. MKILINDI

    Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Kama mlikuwa na mgogoro wakati unaondoka inamaana haujaosha rungu master...na unakaa mda gani ili nimkadirie uvumilivu wake..? Siku nyingine kama huwezi kukaza usimnunie mwanamke. Mwanamke ana software kichwani kwake inayohitaji update kila baada ya mda fulani. Zaidi zaidi usiache kumstua hata...
  9. MKILINDI

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Unaweza kula kizaz cha mkeo..pesa unapata lkn hutakuwa na mtoto
  10. MKILINDI

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Kuna jengo moja lipo posta..unajiandikisha kwa hiar kwa damu yako
  11. MKILINDI

    Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Hii huduma si inapatina hapahapa mlogamzila? Kilichompeleka huko ni nini ? Wakirudi huku na tako ndio wanamtingisha mmakonde wa watu aliyekuja dar kwa music. Wamzike hukohuko
  12. MKILINDI

    Kwanini vimbunga vingi vina majina ya kike?

    Watu washasema huko kimbunga hidaya kikija tunakipa mimba. 99% ya watz ni vichaa
  13. MKILINDI

    Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    Hakuna kitu hapo ndugu. Hawa watu bado wanaaplication za kwenye makaratasi ya elimu waliyosoma lakini sio akili zao za kibinadamu katika kutatua matatizo. Hii nchi kuna sera nzuri za kilimo na umwagiliaji. Ukimuita waziri atakueleza vizuuuur mpaka kiasi cha maji kilichopo ardhini lakini hakuna...
  14. MKILINDI

    Ushauri: Nataka niuze Passo ninunue pikipiki ya kuendea kwenye mihanjo

    Na vyakula vikipanda bei..surrender kula best.
  15. MKILINDI

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Ni very simple kufahamu. Kuna aina za mawingu na sifa zake. Lakini pia kiasi cha humidity huweza kupunguza miale ya jua hado 60%. Dust on atmosphere, quantity of water vapour.nk Lakini hali hii haifany joto kupotea. Dunia ikipoteza joto lake kwa dk 3 hakuna maisha katika dunia.
  16. MKILINDI

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Sio kweli kama mtaalamu Umeelezea concept ya usiku na mchana. Sio intensity of Sunrays during the day time.
  17. MKILINDI

    Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana?

    Njia rahisi kumuelewesha kuhusu hili ni katika matumizi ya tochi kumulika. Mwanga wa tochi unavyomulika mbali utawanyika zaidi lakini mwangaza na ukali wa mwanga wake hupungua. Lakini ukiweka mkono karibu natochi mwanga utamulika sehemu moja kwamaana ya mwanga utakusanywa na intensity yake...
  18. MKILINDI

    Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Tatizo ni neno "MKE" mdada wa kazi nae akiolewa tu. Hawezi kubehave kama alivyokuwa ataletavya aliyoondoka.
  19. MKILINDI

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Mnaozungumzs kwa upande wa kukataa yawezekana hamjao na kuolewa. Lakini niwaambie tu ukiwa na pesa na ukishindwa kujiheshimu utaona kila kitu unaweza kufanya. Ukweli ni kuwa yawezekana ameshakula secretary wote wanaomzunguka. Akawa anatafuta kitu kipya cha kujaribu. Ofis ya Rais, ni taasis...
  20. MKILINDI

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Tunaonq sawa tangu utotoni.
Back
Top Bottom