Search results

  1. K

    Je kama mbunge ni kuonyesha ubabe tutafika?

    hii ni kweli na kwasiaasa za nchi yetu tabia hii ibapatikana kwa chama kimoja tu ambacho hakikuzoea kusikia maneno yaliyo na hoja tofauti na mtazam wa chama chao labda tuulizane nn haswa kazi ya vyama vya siasa au demicrasia ktk nchi yetu hii
  2. K

    Hichi kivazi kitawapendeza wasichana wa Tz (sporty Schoolgirl look)

    amependeza jamanii mh angeachia mkono wake kidogo tu macho yangeshibaa
  3. K

    Halmashauri za miji na wilaya zaongoza kwa mishahara mizuri

    ndio maana ukanunua hiace kwa mshahara waki
  4. K

    ITOKEJE...customized/personalized plate namba

    nadhani kuna mengine yatang'olewa plate zake au kutupiwa mawe mf Riz1kwetu arusha lazima
  5. K

    Simuelewi shemeji yangu huyu

    mpe apige gemu moja tu peopleooozzz oh sorry wana jf
  6. K

    Rais na kikao cha baraza la mawaziri leo Dodoma

    ni kujipanga kuitetea bajeti ya chama tawala kwa kupiga makofii mwanzo mwishoo
  7. K

    LIVE bungeni: Waziri wa fedha anasoma bajeti ya serikali 2012/2013

    sasa wale wenye majina marefu kama ngombalemwiru plate number itakuwa ndefu sana
  8. K

    Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

    gud muv nimemsikia akiongea redion yupo class 1but atamove hadi class3 atapiga stori na rafiki wake wa shuleni. I think viongozi wengine waige kuwa karibu na wananchi na kubwa kujuwa matatizo yao
  9. K

    Mh Rais Hakuvunja KATIBA yupo sahihi kwa katiba ya nchi yetu

    nimeipenda hii mada wakuu but my thanks to u all great thinkers here in JF mmenitoa porini kupitia hii mada
  10. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    mpira hata mkicheza 22 ni plan tu ndio itakaowaoka chelseee
  11. K

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mambo yameivaa
  12. K

    Prof Maghembe ataua kilimo nchi hii

    mkuu nalikubali suala la kuondoka tu huyu mzee
  13. K

    Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

    kitambi tu huyu hamna kitu
  14. K

    Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

    natural justice
  15. K

    Bungeni: Ni zamu ya Waziri Maige

    maiige yupo smart but hao wanaomsaidia kazi ni wezi watupuuuuuuuuuuh
  16. K

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    Nimeona mjadala wa jana na hv ndivyo bunge linatakiwa mawazir wote walikuwa kimyaa kama wafiwa kwenye vitu vyao.big up sana kwa wabunge wote haswa vijana wa vyama vyote kwa mwendo huu inawekana
  17. K

    Guys Dont Borrow Car For Wedding......

    Kwann tusiwe tunauvaa uhalisia badala ya kupata aibu kama za huyu jamaa
  18. K

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    yap walie tuu 2012 mwaka wako chaguo hakunaga
Back
Top Bottom