Search results

  1. B

    Nafundisha kiingereza kwa bei nafuu sana (I teach english course for a cheap price)

    Habari. Jina langu ni Daniel. Ni mtaalamu wa lugha ya Kiingereza. Nafundisha Kiingereza Cha kuongea na kwa muda mfupi tu ukijiunga na kozi yangu utajua Kiingereza vizuri. Nakufata popote ulipo kwa muda utakao kwa waliopo Dar es Salaam na mtandaoni kwa waliopo nje ya DAR ES SALAAM. Kama unahitaji...
  2. B

    Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
Back
Top Bottom