Search results

  1. Wernery G Kapinga

    Miaka 8 bila kazi, tangu nimalize chuo kikuu

    Walioishia la 7 na form 4 wanamaisha mazuri. Nami nimeshikilia hapo[emoji1][emoji1]
  2. Wernery G Kapinga

    TCB huduma kwa wateja jitafakarini kama mnatosha kuhudumia watu

    App ya kurahisisha miamala benk ya Posta.
  3. Wernery G Kapinga

    TCB huduma kwa wateja jitafakarini kama mnatosha kuhudumia watu

    Natumia TCB Popote App. Tar 01/07/2023 nililipia bidhaa fulani kutoka benk kwenda mtandao wa Tigo. Ikaonesha kuna Shida ya mtandao na kunidokeza nijaribu badae. Baada ya Saa moja hivi, nikajaribu ikaonesha kuwa salio langu halitoshi. Kicheki balance kiasi nilichotoa mara ya Kwanza kimetoka...
  4. Wernery G Kapinga

    Lesson plan for Teachers

    Habari. Mtaalamu wa kutengeneza lesson plan forms ambazo walimu wa shule X watakuwa wanajaza online na kuweza kuprint (PDF) tafadhali tuwasiliane. 255621538913. Pia inaweza ikawa application. Heshima kwenu wataalam.
  5. Wernery G Kapinga

    Biashara ya zao la kahawa

    Ndio. Ila mwaka Huu tunaanza mwezi September. Na bei elekezi itatangazwa mwezi July. Karibu Sana Mbinga
  6. Wernery G Kapinga

    Biashara ya zao la kahawa

    Nitakutumia. Ila mavuno Kwa mwaka Huu ni kuanzia mwezi September...! Na bei ya mwaka Huu tutaanza kuijua mwezi July. Ni biashara nzuri..! Wanunuzi WA mwanzo mwanzo wananufaika Sana. Kwa sababu wananunua kahawa Kwa bei ndogo koz watu wanakuwa na Shida na pesa.
  7. Wernery G Kapinga

    Computer4Sale Nauza Laptop bei nafuu

    Ukiiunganisha kwenye projector inapiga kazi?
  8. Wernery G Kapinga

    Natafuta push clutch ya Mo (BM 125)

    Asante Kwa ushauri mkuuu
  9. Wernery G Kapinga

    Natafuta push clutch ya Mo (BM 125)

    Hopefully mko Sawa kabisa. Kuna kamsumari fulani kanaitwa (PUSH CLUTCH) Kwa mujibu wa fundi pikipiki. Huo msumari kazi yake ni: Wakati unabana clutch, kenyewe Kule ndani kanasukuma ili kutenga na Gia ipate kuingia. Sasa nimehangaika mwezi sasa na pikipiki langu lipo Tu. Nimeshapigwa na wahuni...
  10. Wernery G Kapinga

    Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Shida ni kwamba kila walichokuwa wanakizalisha kilipelejwa Nje kwenda kutengeneza material ya kutumia. Vibarua wa Kiafrika walifanya kazi Kwa mazingira magumu na ujira mdogo. Kila walichokifanya ni Kwa manufaa Yao na sio Kwa mwafrica
  11. Wernery G Kapinga

    Biashara ya zao la kahawa

    Kwa wale wanaotaka kununua zao la KAHAWA ya Maganda, muda ni sasa. Kipimo ni Dumla Kwa Sh. 4,000/= Dumla inatoa kilo moja mpaka kilo mmss..wm,oja na robo ikiwa Kavu. Bei ya kilo Kwa kahawa Kavu ni 7,000/= na hiyo ni bei ya mwaka Jana. Mwaka huu unatarajiwa kuwa zaidi ya hapo. Mimi...
  12. Wernery G Kapinga

    Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    Shida siyo nafasi. Mke wake alipaswa kuwa karani Kwa mjibu wa PDF kutoka NBS. Sasa mwl mkuu kafanya yake amempa Msimamizi wa maudhui. Maana yake ni kwamba, wale wasimamizi wa maudhui walipendekezwa na NBS wametemeshwa... Hii ni hatari Sana Hata kama wewe unaunga mkono. Kila MTU apate...
  13. Wernery G Kapinga

    Kitulo Njombe: Usaili ajira za mda za sensa wagubikwa na vitendo vya rushwa na upendeleo

    Nikihesabiwa mniite kuku. Nipo lale nimekaa[emoji58][emoji58]
  14. Wernery G Kapinga

    Sensa: Usiite watu kwenye interview ikiwa tayari unachaguo lako

    Huku kwetu Mbinga waliotuhoji ndio wamekuwa makarani na wasimamizi wa maudhui. Ukiuliza wao wanakuambia ni mwongozo kutoka NBS kuwa walimu wakuu na wakuu wa shule wao wanaingia moja Kwa moja awe ameomba au hajaomba. Inashangaza mno
  15. Wernery G Kapinga

    Mzani wa mawe unahitajika

    Tafadhali MWENYE mzani used wa MAWE tuwasiliane 0621538913. Pesa iliyopo mkononi ni 60,000/=. TSH
  16. Wernery G Kapinga

    Simu haipigi wala hairuhusu kuangalia salio

    Habari zenu wadau.. Jana nilinunua simu mpya ya infinix hot 12i. Cha ajabu baada ya kuweka lain haipigi wala hairuhusu kuangalia salio. Ila inaruhusu kupigiwa Tu. Naomba wataalam mnisaidie. Nakwama wapi miee..
  17. Wernery G Kapinga

    Tunahitaji mtu anayetengeneza vitambulisho vya wanafunzi (Student's ID cards)

    Wasalaam Sisi ni shule Y. Tunahitaji wataalamu wa kudesign vitambulisho ili tupate kuwaandalia wanafunzi wetu. Vigezo. 1. Viwe vigumu kama vile vya NIDA 2. Walao bei iwe nafuu Kwa Majadiliano zaidi tafadhali 0621538913. Ahsante
  18. Wernery G Kapinga

    Tamisemi na Wizara

    [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Amina
  19. Wernery G Kapinga

    Msaada wa mawazo, nina 5,500,000 naweza kujenga nyumba ya aina gani?

    Nina 5,500,000 tu. Kiwanja ninacho. Sitaki tena kulipa Kodi mie. Nitafanikiwa kweli vyumba vitatu vya kulala na sebule? Vitatu Kwa Sababu Nina watoto wa kiume na kike. Au nijenge kibanda cha aina gani? Maisha is not fair
Back
Top Bottom