Natafuta push clutch ya Mo (BM 125)

Natafuta push clutch ya Mo (BM 125)

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Hopefully mko Sawa kabisa. Kuna kamsumari fulani kanaitwa (PUSH CLUTCH) Kwa mujibu wa fundi pikipiki. Huo msumari kazi yake ni:

Wakati unabana clutch, kenyewe Kule ndani kanasukuma ili kutenga na Gia ipate kuingia. Sasa nimehangaika mwezi sasa na pikipiki langu lipo Tu. Nimeshapigwa na wahuni wachache Dar Kwa kutuma hela lakini hawajanitumia mpaka Leo.

Nimeuliza maduka ya Jumla na rejareja wenye matangazo Instagram, hawana. Wengine wanasema mchina bado hajaleta.

Tafadhali wataalamu mnisaidie kukapata Hata kama kwa kuchonga. Kama kuna duka vipo nahitaji Hata 10 ili niviweke Huku. Hata kama unavyo used ambavyo havijaisha, tafadhali tuwasiliane.

Kama dukani kuna cover la clutch complete na hako kamsumari, tafadhali nisaidieni wapi kukapata.

0621538913 au 0657605875
IMG_20221211_100938_1.jpg
IMG_20221211_101000_1.jpg
IMG-20221211-WA0007.jpg
IMG_20221125_171347.jpg
IMG_20221125_170833_1.jpg
 
Back
Top Bottom