Search results

  1. Jayden News

    TANZIA: Balozi Paul Rupia Afariki Dunia

    Kufuatia taarifa ya Kifo chake Rais Samia Suluhu Hassan ameandika “Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Paul Rupia. Tumeondokewa na mtu aliyetoa mchango mkubwa katika masuala ya kidiplomasia, mageuzi ya kiuchumi na utumishi wa umma, na aliyeweka mbele...
  2. Jayden News

    Azam FC yamtangaza kocha wake mpya, Mfaransa Denis Lavagne

    Klabu ya Azam imemtangaza Denis Lavagne (58) Raia wa Ufaransa kuwa Kocha wao Mkuu akirithi mikoba ya Abdihamid Moalin, Lavagne ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka zaidi ya 14 toka alipoanza kuifundisha Coton ya Cameroon (2007-2011) na baadaye USM Alger ya Algeria.
  3. Jayden News

    Haji Manara aropokwa tena sakata la Tuisila Kisinda

    “Hata haieleweki kimejibiwa kitu gani? Na kwa nini Issue ya Yanga uharaka wa kujibu unakuwa mkubwa mno?” “Kanuni hizi hizi zilizombadilisha Chikwende Kwa Kahata?Kanuni hizi hizi zilizomhalalisha Kibu kucheza bila kupata uraia?
  4. Jayden News

    TFF Yachomoa Betri Usajili wa Tuisila Kisinda

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefuta usajili wa winga wa Klabu ya Young Africans, Tuisila Kisinda kwenye orodha ya wachezaji 12 wa kigeni watakaocheza msimu huu. Kwa mujibu wa TFF, usajili huo umefutwa kutokana na Klabu ya Yanga kuchelewesha usajili wake.
  5. Jayden News

    Chapa tozo kila kona!

  6. Jayden News

    NANI ZAIDI! Kati ya Julie Soweto (ODM) na Mahat(IEBC)

    Wanaofutilia Uchaguzi Kenya nani anamkimbiza mwenzake?
  7. Jayden News

    Jamani Mwigulu! alivyowapeleka Wananchi Goligota ya TOZO

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema wananchi ndio walioshauri Serikali ipanue wigo wa tozo za miamala kwa kujumuisha miamala yote ya kielektroniki, ili wananchi wote wachangie maendeleo.
  8. Jayden News

    Nje ya Box kuna nini? Hakuna mtu anayetaka kusikia kuhusu matatizo yako!

    Wengi wanapokosea: Hakuna mtu anayetaka kusikia kuhusu matatizo yako, ukipata fursa ya kuwasiliana na mtu aliye na fursa/anayefanya maamuzi uwe na proposal ambayo ina fursa kwake/inayoleta faida kwake, uwe na suluhisho la changamoto fulani inayomsibu, atakusikiliza!
  9. Jayden News

    Doreen Wa Mrema! Naamini Mume wangu Hajafumba Macho

    Ninaamini baba hajafunga macho, kama alivyoniahidi, kuwa hata akifa hatafumba macho, na ninaamini katika maneno yake." Unadhani ndugu wa Mrema watamuachia chochote?
  10. Jayden News

    Babbie Kabae akumbuka alivyorogwa nusu kufa, kisa?

    Anaeleza kuwa AGOST 31, Siku Kama hii mwaka Jana, nilikuwa pabaya sana kwenye maisha yangu, matatizo bila suluhu, watu wangu wa karibu niliowaamini walinitelekeza, nilikuwa na mimba, peke yangu, kila kitu kinanitegemea mimi. Afya yangu ilikuwa na matatizo sana pamoja na mimba juu. “Ilikuwa...
  11. Jayden News

    Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mikhail Gorbachev

    It is with great sadness that I learned of the death of one of the most influential political leaders of USSR/Russia, Mikhail Gorbachev. He will be remembered globally as an outstanding peacemaker and statesman. May his soul rest in eternal peace. Amen.
  12. Jayden News

    Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

    Billnass amesema “Mimi wakati mke wangu anajifungua nilikuwepo hospitali na nilimuona process zote ni kitu ambacho kilinitesa sana niliona ni nusu ya kifo, nililia sana kuna muda mwingine unaona hujui kama atakuwa salama, nimezidisha mapenzi niliyokuwa nayo kwa mwanamke wangu."
Back
Top Bottom