Search results

  1. REMSA

    ITV hamjawatendea haki watanzania mkutano wa CHADEMA Mwanza

    Editing iliyofanywa kwenye kipindi kilichorushwa na Itv cha mkutano wa Chadema Mwanza ni uhuni umefanyika. Haiwezekani kipindi kizima wameonekans wasemaji tu bila waliohudhuria mkutano kuonyeshwa,hii ni hujuma kwa Chadema na watanzania
  2. REMSA

    UKAWA waamua kumsimamisha Julius Mtatiro kugombea Ubunge wa Jimbo la Segerea

    Hatimaye imetangazwa rasmi mgombea ubunge jimbo la Segerea ni Julius Mtatiro,rasmi sasa wale wana wa UKAWA tuingie kazini kuhakikisha tunalichukua jimbo mapema sanaa. Bonna kwa Mtatiro ni mwepesi kama Sufi.
  3. REMSA

    Bawacha wamejipanga kufanikisha ushindi

    Baraza la wanawake wa CHADEMA chini ya Halima J.Mdee wanafanya kazi kubwa kuhakikisha ushindi wa UKAWA unapatikana na unalindwa. Kwa harakati zinazoendelea mpaka vijijini kuelimisha wanawake CCM this time hawatakuwa mtaji wa CCM. Hongera Mdee na team yako kwa kazi nzuri.
  4. REMSA

    Mbatia aivua nguo serikali

    Anaendelea kuichambua sera mpya ya elimu ya Tanzania,ni aibu kwa wizara ya Elimu na serikali kwa ujumla kuweka sera mbovu ya kiasi hiki
  5. REMSA

    Zoezi la kuapisha wenyeviti Manispaa ya Ilala lakwama

    Hii ni baada ya Mkrugenzi wa Ilala kwa maagizo ya Makongoro Mahanga kutaka kubadilisha matokeo ya mtaa wa Migombani Segerea,ambako mgombea wa UKAWA ndiye aliyeshinda kwa kura 547 dhidi ya yule wa ccm aliyepata kura 205. Wanaukawa waliamua kupambana na ufisadi huu hatimaye zoezi lmeahirishwa.
  6. REMSA

    Tanroad Wekeni Zebra Cross mbele ya Mapato House

    Baada ya utaratibu mpya wa matumizi ya barabara ya Sokoine Drive,tuwaombe wahusika wa barabara, TANROD na Traffic Police,ufanyike mpango wa haraka kuweka pundamilia eneo linalovuka TRA Mapato House kuvuka stesheni,kwani magari yanapita kasi,na eneo hili ni watu wengi wanavuka na pundamilia...
  7. REMSA

    Masalia mtahamia ACT au mtabaki CCM?

    Baada ya wale wasaliti wa CHADEMA akina Mtela Mwampamba,Juliana Shonza,Mchange na wengineo kutimuliwa CDM,wapo waliojiunga na ccm. Lakini mara baada ya sakata la MM na akina M1 kujitokeza,hawa masalia ambao wapo ccm wamekuwa karibu na Zito na kumsaidia katika mambo mengi ikiwemo kuandaa...
  8. REMSA

    Msaada wa Haraka

    Bomba kubwa la maji limepasuka maeneo ya Tabata Baracuda na maji yanamwagika kwa wingi mno,kiasi cha kuleta mashaka ya mafuriko kwa wakazi wa maeneo hayo,tafadhali mwenye namba ya watu wa Dawasco asaidie kuwapa taarifa.
  9. REMSA

    Taarifa kwa Polisi'

    Basi la kampuni ya Abood Bus,no T451 AES,linalotoka Morogoro kwenda Dar,dereva wake anaendesha gari vibaya sana,anaovertake ovyoovyo,abiria wamepiga kelele jamaa hata hajali kabisa.eneo lenyewe ni baya alilofika ni kati Chalinze na Mlandizi..
  10. REMSA

    Nani anishawishi nipende kulipa kodi Tanzania'

    1.Watoto wangu ninasomesha English medium nalipa ada kubwa,hii ni kwa sababu shule za serikali ni duni' 2.Ninaishi Segerea maeneo ya Mandela,barabara ni mbovu labda kuliko zote hapa mjini, mvua ikinyesha usiku hatuna uhakika wa kwenda kazini,ikinyesha mchana hatuna uhakika wa kurudi...
  11. REMSA

    Naomba msaada wa haraka please,nataka kwenda huko sasa hivi

    Naomba anayeelewa anisaidie kunielekeza namna ya kufika kambi ya wazee Kigamboni. Ni sehemu gani.
  12. REMSA

    Umati uliojaa kwa ajili ya Interview Olyimpio Pr.Scholl leo unaashiria nini?

    Leo watoto wa kuingia darasa la kwanza walikuwa wanafanya Interview shule ya Msingi Olyipio, Jinsi umati ulivyokuwa mkubwa,bila shaka ni salaam kwa serikali kuwa bado wanakitu cha kufanya, bila shaka watanzania wengi wanatamani watoto wao wasome English Medium Schools,lakini tatizo kubwa...
  13. REMSA

    Agizo la pinda kuhusu mashangingi lilipuuzwa au??

    Kati ya maagizo au amri ambazo zimewahi kutolewa na Waziri mkuu Mh.Pinda ni kusitisha ununuaji wa magari ya kifahari ya Landcruiser yaani Mashangingi. Je hili nalo limemshinda waziri mkuu,kwani kwa taarifa za uhakika toka kampuni ya Toyota ni kwamba, mpaka sasa serikali na sekta zake zote...
  14. REMSA

    Naomba ushauri:Shule nzuri ya kwa Mwanafunzi wa Form One

    Mwanangu yuko darasa la saba anajiandaa kufanya mtihani wa drs la saba, please naomba ushauri shule nzuri ya Boys ya Private ya kumpeleka,ni mzuri sana darasani in short ni genius,ila mwanangu ni mpole sana na hapendi mazingira ya vurugu.Kwa sifa hizi please naomba ushauri wa shule nzuri ya...
  15. REMSA

    MSAADA:High blood pressure

    Msaada wakuu mama yangu anasumbuliwa sana na pressure na anatumia dawa za Nifedipine kwa muda sasa,ila bado kuna wakati inapanda.Naomba kujua kama kuna dawa anaweza kutumia na ugonjwa huu ukaisha.
  16. REMSA

    Tusiwaamini polisi wa Tanzania

    Hii imetokea jana,ndugu yangu alitoa taarifa polisi kuwa jirani na kwao kuna mhadhara wa dini ya kiislamu na wanakashifu ukristo,wakamuuliza jina akawatajia,baada ya muda alipigiwa simu na OCD wa kituo cha jirani ,na kuulizwa kuna nini akaeleza,then baada ya muda si mrefu akapigiwa simu na...
  17. REMSA

    TANZIA:Onesmo Ngusa amefariki dunia

    Aliyekuwa mtangazaji wa Wapo Fm,na Praise Power ,Onesmo Ngusa amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Mwananyamala. "Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe" Souce:Wapo Radio
  18. REMSA

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ilala amesimamishwa kazi

    Zipo taarifa zisizo na chembe ya shaka kuwa mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala,amepewa barua ya kusimamishwa kazi jana. Ni kutokana na kashfa nyingi na ufisadi mwingi ambao umeendelea ndani ya Manispaa ya Ilala. Pia amekuwa muda mwingi anakaimu nafasi yake kwa mwanasheria wa manispaa na hii...
  19. REMSA

    Waziri Muhongo ni muongo au amezidiwa na Mafisadi!!!!!?

    Nakumbuka muda si mrefu uliopita Profesa Muhongo alitutangazia watanzania kuwa hakuna mgao Tanzania,na kuwa mgao ulikuwa unapangwa mezani na watu kwa maslahi yao. Kwa sasa sio siri tena kuwa kuna mgao wa umeme,japo haijatangazwa,la kujiuliza ni hili je Waziri ametuongopea watanzania au...
  20. REMSA

    Ushauri juu ya ving'amuzi

    Nadhani mpaka kufikia leo tarehe 08/01 wengi mmeshatumia ving'amuzi na tayari mnajua King'amuzi kipi bora,sasa naomba ushuri wenu ninunue King'amuzi kipi"
Back
Top Bottom