UKAWA waamua kumsimamisha Julius Mtatiro kugombea Ubunge wa Jimbo la Segerea

Yule dada amuunge mkono mtatiro na wafuasi wake, hongera kamanda na mama usife moyo tunaimani viti maalum itakuhusu kwa upambanaji thabiti
 
REMSA nakushukuru na kukupongeza kwa kutupatia taarifa nzuri tulizokuwa tunazisubiri... Julius Mtatiro ninamwamini na nina hakika ataisimamia ukawa vyema segerea. sasa nina hakina kuwa tanzania bila ccm inawezekana oktoba 25 na segerea bila ccm pia inawezekana...mabadilikoooo lowassaaa...lowassaaa mabadilikoooo...vichinjio tunavyo, nia tunayo, sababu tunayo na inshaallah mola atupe uhai tufike siku hiyo. Kwako mdogo wangu Mtatiro, tafadhali endesha siasa makini zenye kuchambua hoja na kuzipangua kama ulivyozipangua hoja dhaifu za polepole kwenye channel ten...tupo pamoja HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII........PEOPLEEEEEEEEES.........MAGEUZIIIIIIIII......MOTOMOTOOOOOOO
Hatimaye imetangazwa rasmi mgombea ubunge jimbo la Segerea ni John Mtatiro,rasmi sasa
wale wana wa UKAWA tuingie kazini kuhakikisha tunalichukua jimbo mapema sanaa,Bonna ni
kwa Mtatiro ni mwepesi kama Sufi
 
Back
Top Bottom