Kati ya Equitorial Guinea [emoji1095], Guinea [emoji1119], Guinea Bissau [emoji1120] na Papua New Guinea[emoji1195]
Nani ni mmiliki halali na muanzilishi wa jina Guinea?
Asili ya jina Guinea ni ipi?
Chanzo cha jina Guinea ni kipi?
Ilikuwaje nchi zote nne zikatumia jina moja Guinea lenye...
Muharibifu namba moja wa Dunia ni binadamu, Binadamu akiangamia na kutoweka kabisa Dunia itanawiri.
Uoto wa asili utastawi mimea, wanyama na viumbe hai wote watapata makazi bora na vyakula vya kutosha. Mazingira na mandhari itapendeza.
Mimea na wanyama vikitoweka kabisa, Binadamu hana maisha...
If you really thought your God was watching over everything and you genuinely trusted in his "Plan"
You wouldn't be praying in the first place.
A person who prays is the one who thinks that God has arranged matters all wrong, Also who thinks that he can instruct God how to put them right...
Wana Theolojia, Kwanini mtu Anazaliwa na Dhambi na kurithi automatically, Lakini sio ukombozi?
Ingawa vyote vilitokea kabla ya mtu kuzaliwa?
Kwa nini mtu huyu asizaliwe na ukombozi tayari?
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?
Je, hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?
Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya kuumbwa ulimwengu?
Mbingu ni dhana ya kufikirika Haipo, Na hata uwezekano wa kuwepo kwake, Haupo...
Habari ndugu wana jamii forums.
Kwa muda mrefu sana watu wasio amini uwepo wa Mungu "Atheist" wamekuwa wakipingwa, kukosolewa na kuonekana kama watu wa ajabu kutokana na mitazamo yao tofauti kuhusu swala la uwepo wa Mungu.
Jamii ya watu wanao amini Uwepo wa Mungu na waamini wa dini mbalimbali...
Habari wakuu wana jamii forums[emoji112]..
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu napenda kuzungumzia suala la mabishano ya kidini baina ya waumini wa dini mbalimbali hasa dini kuu mbili zenye wafuasi na waamini wengi duniani Ukristo na Uislamu...
Kwanza kabisa Binadamu yeyote anapozaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.