Nikiwa katika mahafali ya wanafunzi waliohitimu masomo yao katika chuo Cha Kingdom Builders Bible Academy (KBBA) kilichopo Isole mkoani Geita tarehe 18/08/2022 ndipo nilipofahamu kwa ufupi historia ya chuo kikuu Cha Makerere na Hospitali ya rufaa ya Mulago iliyopo nchini Uganda” Faraja Gasto...
Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya.
Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k ina/ana/una/kina/linatakiwa kuwa na kumbukumbu au historia ya maandishi, picha na vitu mbalimbali.
Historia...
Vijana wamepewa majina mbalimbali ikiwemo NGUVU KAZI YA TAIFA.
Ukweli ni kwamba NGUVU KAZI ISIYO NA KAZI HAINA MANUFAA KWA TAIFA bali inazalisha matatizo mbalimbali katika taifa.
Mtu mwenye hekima aliwahi kusema "fahari ya vijana ni nguvu zao" (Mithali 19:29)
Kila taifa linatakiwa kutengeneza...
UTANGULIZI
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uaminifu wake katika nchi ya Tanzania, pia namshukuru Mungu kwa ajili ya kuniwezesha kuandika chapisho hili ambalo naamini litakuwa msaada katika kutoa mchango wa maboresho ya elimu ya msingi na mitaala ya elimu katika nchi yetu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.