Search results

  1. U

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 11 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    wazanzibar wanajia sana kama alihonga kokojoleo ndipo akapewa ubunge na uwazir
  2. U

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, Tarehe 10 Aprili, 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    mijitu mingine misengerema kweli yaani kusoma haijui wala hata kuangalia picha
  3. U

    Waraka wa tatu wa Lema kwa rais Kikwete

    wa kupuuzwa wewe!
  4. U

    Siri ya CCM kung'ang'ania serikali mbili ni nini?

    Gesi na mafuta yaliyogunduliwa zanzibar zina thamani kubwa sana hata ya Mtwara haioni ndani ndio maana wanakuwa wagumu kuiachia zanzibar
  5. U

    Kama unatokea Zenji kuja Dar,uzee mwisho wapi?

    Uzee mwisho kisiwa cha Bongoyo ukifika Bandar ya Dar kila mtu baby
  6. U

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    Masikin Ashimu Rungwe kama namuoba anavyo shindwa
  7. U

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    Hapo maccm lazima wampigie kura Sitta hata kama hawamtaki maana wakimpigua Hashim Rungwe itawacost
  8. U

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    hapo kuna mpango wa kumchakachua mtu wasiye mtaka magamba.
  9. U

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    wanachakachua mpaka bunge la katiba duh!
  10. U

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    Maccm yatampitisha kificho tuu ili kulinda maslahi ya chama wakati katiba siyo ya chama bali ni ya Watanzania wote.
  11. U

    Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    Ni kweli huyu mpuuzi amechanganyikiwa maana ana roho ya kichawi kwa anayo yafanya,bota aende akaungane wenzie wakina Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Juliana Shonza maana aliwatia roho ya usi kwa mkono wake
  12. U

    Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    Ni kweli kabisa Mh Mbowe ana busara sana na siyo wengine wanaokurupuka kuzusha mambo kama wenda wazimu ili wasikike kumbe ukimbukeni wa siasa na vyeo unawasumbua hata ukiangalia michango ya Mh Mbowe na waropokaji kama Mwigulu ni tofauti. Mwigulu hana busara za uongozi
  13. U

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Kaka hata mim nilikuwa nasumbuliwa na,vidonda vya tumbo na nilihangaika sana kutumia dawa za hospital lakini sikufanikiwa ila kuna mtu anismbia nitafune vitunguu swaumu asubihi,mchana na jion na nikafanya hivyo sasa sijambo kabisa na havinisimbui . vitunguu SWAUMU ni dawa sana tena ulcers...
  14. U

    Msaada jinsi ya kujiunga na Paypal

    Ndugu wana Jf,naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Paypal.
  15. U

    Open university.

    Bora ungebaki open mkuu.
Back
Top Bottom