Acheni kuleta ujuaji wakuu na kuleta ujenzi wa serikali.
Hiyo nyumba mpaka bati ni 20M,finishing utachagua mwenyewe material unayotaka.
Na kuna mazingira hata 15 unapiga bati hiyo nyumba.usipate stress za wajuzi wa vitabuni.ingekua hivyo watu wasingejenga
Acha uoga,kama chuma kiko safi oa,
Mambo mengine yapo tu.kuhusu kufa utakufa na mkeo utamuacha hata usipomuoa huyo mparestina
Nyerere
Mwinyi.
Jpm
Mkapa
Kijazi
Lowasa. Nk
Wote wameacha wake zao,vuta jiko kaa kwa kutulia
Uchukue uamuzi gani wewe na nani?iko hivi,walimu wanamtuma mtoto akuambie uhudhurie kikao siku fulani,usipotoa udhuru na usipokwenda kikao,walimu wanajua mtoto hakukupa taarifa hivyo anapewa adhabu ili kumkumbusha aache uzembe.
Ila walimu wasichojua ni kwamba kuna wazazi hawajielewi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.