Search results

  1. Wegr

    Wataalamu wa afya msaada wenu kuhusu ugonjwa unanisumbua

    Sitaki kuwachosha niende kwenye lengo moja kwa moja, Ni wiki ya pili sasa napatwa na joto ikiambatana na baridi kali kichwa kuuma viungo vya mwili kuuma mda mwingine kuchoka hamu ya kula sina. Nimeenda Hospital nimepima naambiwa sina ugonjwa wowote lakini hali ni taiti sana. Msaada jamani...
  2. Wegr

    Bank ya CRDB tawi la Turiani ni tatizo

    Wapendwa sitaki kuwachosha wakati wenyewe tulishachoshwa na maisha, niende moja kwa moja kwenye malalamiko. Jamani hii sasa sio kero bali ni tatizo kwetu sisi wateja wa CRDB tawi la Turiani sio ndani wala ATM panapofanyakazi, ndani ntiti nje ntiti yani ndani kumefungwa na nje [emoji763] ujumbe...
  3. Wegr

    Siyo kila mzazi anayeachiwa malezi ya mtoto peke yake katelekezewa makusudi, hapana

    Wakuu nina kisa hapa naomba kuwashirikisha mnishauri namna ya kuamua au kufanya, Sio mwandishi mzuri na maelezo ni marefu usichoke kusoma pengine unaweza jifunza kitu, twende, Miaka 5 iliyoisha nilikutana na binti huko moja ya mikoa ya kanda ya ziwa tukaanzisha mahusiano yaliopelekea kapata...
  4. Wegr

    Wenyeji wa Dar esalaam msaada wenu

    Poleni na harakati za siku nzima, Ndugu zangu kesho natarajia kusafiri kutoka mkoani kuja Dar, nitakuwa hapo kwa siku 14 kikazi. Eneo la kazi litakuwa (JNIA) Julius Nyerere International Airport, Vitu ninavyopenda kujua na kuelekezwa ni pamoja na, Kutoka stand nitakapofikia kwenda hapo...
  5. Wegr

    TV aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima

    Habari wadau!! TV yangu aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima na haioneshi picha kabisa tatizo limeanza leo majira ya saa 5 asubuhi Tatizo linaweza kuwa ni nini, msaada wenu wakuu.
  6. Wegr

    Msaada kwa wanaoifahamu wilaya ya Turiani, Morogoro

    Habari wakuu, Ndugu zangu natarajia kwenda Morogoro wiki hii kikazi, sijawahi kufika na sipajaui natokea Njombe. Napenda kujua hali ya hewa huko, watu wa wilaya hiyo upatikanaji huduma za jamii. Mwisho nikiwa natoka Njombe ni gari gani nipande na nishukie wapi ambapo ni rahisi kufika. Asanteni.
  7. Wegr

    Huko Facebook nao hawako hawakubali kubaki nyuma kwa Lugha ya malikia!! nyieee

    Sasa sijui hizi kayumba tutafika kweli!
  8. Wegr

    Kwa nini kodi zetu zinatumika vibaya kiasi hiki ili hali serikali ni ile ile?

    Habari wanaJf Niende Moja kwa kwenye kero yangu, Ndugu zangu kama ni matumizi mabaya ya pesa za umma basi serikali yetu inaweza kuwa moja wapo kwa matumizi mabaya. Inakuaje serikali hiyo hiyo moja ilipeleka miundombinu ya maji ama umeme eneo fulani la makazi ya watu mwaka mmoja au miwili...
Back
Top Bottom