Search results

  1. Tempest

    Naomba ushauri namna ya kuvuta Maji

    Habarini wadau Naomba kuuliza kwenye ishu ya kuvuta maji je unaweza kumalizia mwenyew baada ya mita 50 za dawasa Kwa kutumia fundi wako, maaan nnapoweka ni kama 200M na gharama zao Kwa huo umbali ni kubwa sana, nahofia nisije kufanya hivyo wakaniletea noma. Gharama za maji ni kuubwa mno na...
  2. Tempest

    Msaada wa hili, miguu inakufa ganzi

    Habarini wadau, Kama wiki sasa nimepata hili tatizo la miguu kufa ganzi, wa kushoto ndio sana mpaka sasa nakuwa siu feel kwa kiasi kikubwa, nikajua itaenda ikipungua ila naona ipo same au kama inapungu basi taratibu sanaaa kiasi chja kwamba siwezi jua, Kama kuna yoyote mwenye ujuzi au...
  3. Tempest

    Hizi ni aibu kweli au kuna mengine?

    Kuna dada nilionana nae mitaa fulan hivi ya beach, mambo yakaenda fasta mwisho tukaishia kulala ila ajabu kwamba yeye kote ni fresh umuone ila maziwa yake ndo anaona aibu eti, mi nikajua masihara ishu ikawa serious yaan bora ishu isitishwe kuliko mm kuona hizo ngoma na amekaza mpaka mwisho...
  4. Tempest

    Msaada/Matatizo ya moyo

    Habari, Naomba kuuliza nikitaka kufanya checkup ya magonjwa ya moyo niandae kiasi gani hospital maan Sina bima na hospital ipi ni poa zaidi au ipi ni poa na gharama zake ni za kawaida ambazo mtu anaweza kuzikudu kiurahisi au daktari unayemfahamu n.k Maana nna dalili nying zinazoashiria Hilo...
Back
Top Bottom