Search results

  1. ellyrehema

    Ushawahi kudondoka chini ukiwa unafanya mapenzi?

    Wadau, Katika maisha huwa tunakutana na mengi sana, nakumbuka miaka flani hivi nlikutana na mdada maeneo ya Morogoro. Shughuli ilikuwa pevu maana shuka ilihamia katikati ya kitanda, fujo zake zilifanya nikaogopa nikijua nitajaza watu wakidhani nampiga. Basi hapa na pale mala tukawa...
  2. ellyrehema

    Kama ulishawahi kufumaniwa na mke/mume tupeane uzoefu

    Nimeona nitoe huu uzi, maana wanandoa wengi wanachepuka sana. Kama wewe ulishawahi kufumaniwa laiv, ama sms kwenye simu ama audio zilizorekodi maongezi yako na mchepuko, ama vyovyote vile. Ili mradi tu ilileta tafran na majuto kwenye uhusiano wako. Just funguka ya moyoni ushare na wenzako
  3. ellyrehema

    Thin client setup (Msaada tutani)

    Guys nina sever yangu barand new HP ina ram 40gb, Hdd !tb na quad processor. na nina PC kadhaa za thin client aina ya HP atom spec: intergrated( HDD 2Gb, 1Gb RAM). Ninachohitaji hee sever niiitumie kwa ajili ya computer lab katika chuo ninachofundisha. so kama kuna mtu hii kitu anaijua vizuri...
  4. ellyrehema

    IT Syllabus

    Wadau habarini za leo. Kama kuna mdau wa jF humu ana syllabus ya IT ambayo ni official naomba anipatie, mimi nimesoma computer science na nimeanzisha chuo na course ambayo tunafundisha ni certificate in IT pamoja na computer applications. so kama kuna mtu anayo please naomba anitumie
  5. ellyrehema

    Naumwa kwa miaka mingi ila sizidiwi

    Jamani habari zenu. kama kuna daktari ataweza kunisaidia tatizo langu hili nitafurahi sana. mimi nina miaka 34 na tangu nikiwa na umri wa miaka 24 nilianza kusikia kama maralia muda wote mara iningine ukipima inakuwepo ukinywa dawa hujisikii nafuu ila ukipima tena unakuta hakuna maralia, baadae...
  6. ellyrehema

    Unahitaji proffessional website kwa bei ya kutupa??

    wandugu habari zenu. Natengeneza website za aina mbalimbali kwa ghrama nafuu sana huwezi kuamini.kwa ajili ya personal profile, biashara, shule za chekechea, primary na secondary, pia vyuo mbalimbali. bei ya website ni kuanzia 50,000/= mpaka 1,000,000/= inategemeana na ukubwa wa website yenyewe...
  7. ellyrehema

    Nina modem yangu ya vodaphone K3571-Z nataka ku unlock ili nitumie line ya zain nitaf

    guys modem hii nailipia sh. 30000 kwa mwezi so naona ni nyingi kidogo ukilinganisha na matumizi yangu wakati zain ukilipa tsh. 2500/= unapata 400MB. na vodacom ukilipia 3000/= unapata 50MB so nahitaji nitumie zain coz ni cheap kidogo ukilinganisha na vodacom. mnisaidie jinsi nitakavyofanya ili...
Back
Top Bottom