Search results

  1. Fyodor Dostoevsky

    Understanding your woman

    UNDERSTANDING YOUR WOMAN!!! Many men make the mistake of wanting their wives/women to be like them, forgetting we were not created with the same raw materials. A man was formed from the dust but a woman was made from bone, hence we cannot behave or think alike. An average woman wants to be...
  2. Fyodor Dostoevsky

    Kemebose Kagera wakisherekea matokeo yao

    Shule ya kwanza matokeo ya kidato cha sita, Kemebose kutokea Kagera Tanzania wakisherekea matokeo yao kwa kuzunguka mji mzima!. Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
  3. Fyodor Dostoevsky

    Phone4Sale Simu inauzwa Tecno pop5 pro

    Habari za leo! Nauza simu yangu halali na mteja atapatiwa risiti halali,nimekwama mahala naona simu yangu sasa inaweza kunisaidia kujikwamua. Name: TECNO POP5 PRO. Ram:2 GB:32GB. KIPENGELE:HAMNA. BEI:200K. FULL BOX:chaja,kava la simu ,earphone na risiti . Contact:0743567159 Location DSM, Temeke...
  4. Fyodor Dostoevsky

    Naomba ushauri baada ya matokeo ya mdogo wangu

    Ndugu samahani, najua mko bize na kutafuta mkate wa siku! Nilikua naomba ushauri wenu baada ya matokeo kutoka Mdogo wangu yeye amepata kama ifuatavyo katika tahasusi yake ya CBG. GS.D .CHEM . E BIOS .E NA GEO. D BAM F. DIVISON 3 YA 14. Je, ningependa mnishauri akasomee kitu gani? Na je...
  5. Fyodor Dostoevsky

    Naombeni link ya kuangalia matokeo ya Form Six

    wakubwa shikamooni! wenzagu wadogo za saa hizi! Naomba mwenye link ya form six results anisaidie! Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
  6. Fyodor Dostoevsky

    Kitanda kinauzwa Temeke, Dar es salaam

    Hellow! Waungwana! Kuna kitanda kinauzwa hapa. Bei 100k. Mawasiliano. 0768665231.
  7. Fyodor Dostoevsky

    Pata SOFT COPY YA VITABU VYA T.I.E. masomo yote kuanzia darasa la awali hadi la saba

    "DIGITAL EDUCATION." Pata SOFT COPY YA VITABU VYA T.I.E. masomo yote kuanzia darasa la awali hadi la saba. SWAHILI MEDIUM & ENGLISH MEDIUM. Bei zetu ni nafuu kabisa 1000/= kwa somo moja na darasa moja. O-LEVEL ni 1500/= kwa kila kitabu kwa darasa moja. Pia tuna summary kwa o level.bei 1000 A-...
  8. Fyodor Dostoevsky

    Vitabu (poetry sources) na (onthology africa american literature vinahitajika)dsm

    Habari!? Poleni na mahangaiko ya leo.Nahitaji vitabu kama 10 per pair kwa vitabu tajwa hapo juu. Napatikana Temeke Dsm. kama unavyo tuwasiliane. Natanguliza shukurani.
  9. Fyodor Dostoevsky

    Mwalimu wa fizikia na hesabu anahitajika haraka

    Salaam kutoka BUKOBA HOPE LUTHERAN SEC SCHOOL YA ELCT BUKOBA. Naomba ikiwa mtu ana Mwl wa Mathematics na Physics mwenye Diploma au Digrii ya kwanza, amwambie awasiliane na Mtaaluma 0759742310 au Uongozi wa Shule ili ajiandae kuja usahili kuanzia hata kesho. Tunahitaji Mwl mmoja kwa sasa. Mchg...
  10. Fyodor Dostoevsky

    Msusi anaomba kazi. Yupo Dar es Salaam

    Jamani habari zenu!? Kuna Sister mmoja ni msusi mzuri tu(mitindo yote) anapatikana DSM maeneo ya kongohe, anatafuta sehemu ya kazi ya ususi, kwa hiyo kama kuna mtu anasehemu au ana connection basi naomba tuwasiliane. Natanguliza shukurani!.
Back
Top Bottom