Msusi anaomba kazi. Yupo Dar es Salaam

Msusi anaomba kazi. Yupo Dar es Salaam

Fyodor Dostoevsky

Senior Member
Joined
Mar 23, 2022
Posts
121
Reaction score
85
Jamani habari zenu!?

Kuna Sister mmoja ni msusi mzuri tu(mitindo yote) anapatikana DSM maeneo ya kongohe, anatafuta sehemu ya kazi ya ususi, kwa hiyo kama kuna mtu anasehemu au ana connection basi naomba tuwasiliane.

Natanguliza shukurani!.
 
Toa namba
 
Kuna watu wawili tofauti wanatafuta wasusi
 
Jamani habari zenu!?

Kuna Sister mmoja ni msusi mzuri tu(mitindo yote) anapatikana DSM maeneo ya kongohe, anatafuta sehemu ya kazi ya ususi, kwa hiyo kama kuna mtu anasehemu au ana connection basi naomba tuwasiliane.

Natanguliza shukurani!.
Kuna post niliiona ulimwengu wa insta inatafuta msusi ngoja nikaiangalie, narejea...
 
Nakusubiria mkuu.
Hii hapa
Screenshot_20220611-153355.jpg
 
Back
Top Bottom