Search results

  1. Chai Maziwa

    Kijana anatafuta kazi yoyote ya halali

    Moshi Kilimanjaro Kijana wa miaka 28 Anatafuta kazi Moshi-Kilimanjaro Kamaliza Internship ya Medical Doctor Yuko tayari kufanya kazi yoyote halali ndani ya Moshi Sex: Me Age: 28 Location: Moshi Kilimanaro Degree Medical Doctor Tutor at College (Public Health) Teacher at Secondary School (Biology...
  2. Chai Maziwa

    Kwanini wanaume wanaoa wanawake wa kawaida ilihali wamezoeleka kutoka na pisi kali?

    Habari wanaJF Leo nakuja na swali. Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoeleka enzi za ujana wake hasa alikuwA akizichakata pisi kali sana. Hii imekaaje watalaam wa mambo. Ni kwamba kuna wanawake wa...
  3. Chai Maziwa

    Ni kitu gani kinakukata Sitimu unapotaka kumtongoza mwanamke

    Habari Wanaume Wa JF Kama unavyojua hulka ya mwanaume ni kutamani na kutongoza popote anapopata nafasi. Lakini kwa wanaume wanaojua sifa za mademu wanaowataka hatongozi tu hasa akiona kuna kitu hakijamvutia kwa mwanamke. Achana na maumbile tunaongelea yale mambo wanayojiongezea au kuyapunguza...
Back
Top Bottom