Search results

  1. hudyrawaaah

    Mfumo wa elimu Tanzania unafanya wenye vipaji kuonekana hawana akili, kitu ambacho si kweli

    Daktar anapoingia chumba chenye wagonjwa tofauti tofauti halafu wote akawapa dawa ya malaria hii inamana kuwa watakao pona ni wenye malaria tu wengine atakuwa hajawasaidia. Hicho ndio kinacho tokea shuleni kwa sababu Tiba inayotolewa inalenga kuwa tibu wanafunzi wenye logical na linguistic...
  2. hudyrawaaah

    Mwili

    MWANAMKE MFUPI AKIVAA NGUO NYEKUNDU UKIMWANGALIA KWA MBALI UNAWEZ JUA NI FIRE EXTINGUISHER
  3. hudyrawaaah

    Ubunifu ni kuvunja taratibu bila kuwa na hatia. Kuwa tofauti

    Kuwa mbunifu ni kuvunja sheria kanuni na taratibu bila kuwa na hatia yani ni kufanya tofauti na mazoea Kama utafanana na wengine nani atahofia kukupoteza Lazima uwe tofauti na wengine ili uongeze thamani pia jifunze sana Lakin jitahidi watu wakujue maana asiyekujua hakuthamini Jichanganye na...
  4. hudyrawaaah

    Wanaofanikiwa kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidhaa ni wanaouza bidhaa kwa bei halisi

    Wanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanaouza bei ya bidhaa. Watanzania tunapenad kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili ufanikiwe katika biashara uza bei ya kitu.
Back
Top Bottom