Wanaofanikiwa kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidhaa ni wanaouza bidhaa kwa bei halisi

Mkuu una mwandiko mgumu sana kuusoma. Ongezea nyama hiyo post yako kwa kuedit ili ueleweke vizuri.
 
Wanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanao uza bei ya bidhaa watanzania tunapend kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili ufanikiwe katika biashara uza bei ya kitu
Sidhani kama hata wew mwenyewe umeelewa, haya ndiyo madhara ya CCM
 
Nadhan nimemuelewa kwamba unapouza kitu uza kwa ile bei halisi yaani kama ni kitu cha 5000 basi tangaza elfu 5000 na sio unamuanzia mteja kwenye elfu 30000 muanze kushushana.
Ukiatangaza bei halisi ya elfu 5 tegemea kutokuuza kwa siku 3 mfululizo maana hamna mtanzania anaenunua kitu bila kutaka punguzo!

Ukimkatalia anaenda kwenginepo ambako atapunguziwa bei. Advantage ni ku set fixed price kama vunjabei vile. Jeans 19,000 hapo utawaweza wabongo.
 
Nilichomuelewa kuuza bidhaa ile hali ya kuuz bidhaa zenye ubora na bei inakuwaga juu kama alivyosema watanzania wanapend kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele

uza vitu kwa bei ndogo kwa kuangalia bei sio bidhaa ya ubora sana
 
Back
Top Bottom