Search results

  1. P

    Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Tafuta sasa namna ya wewe kuwashawishi wakuruhusu uondoke ili ukatimize kile unachokiona!
  2. P

    Naombeni mnipokee Mimi

    Karibu sana! Naomba huo ushauri
  3. P

    Tetesi: Vipi Mbezi High School kuna nini?

    Tuhuma nzito sana hizi. Uchunguzi ufanyike!
  4. P

    Nafurahi Sana kuwa miongoni mwa wanafamilia wa hili jukwaa!

    Asante sana watu nane, nimekaribia.
  5. P

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Msaada hauhusiani na elimu wala kitu kingine chochote! Msaada ni ule ushirikiano anaoamua kujitoa mtu Kwa mtu Kwa kitu ambacho Hana au kuwa na uwezo Nacho. So nashangaa maswala ya elimu yanakujaje tena hapa
  6. P

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    So kuna guarantee kwamba watu wa elimu Fulani ndo wanapaswa au ndio wanaweza Tu kuandika na kupangilia vizuri uandishi?
  7. P

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Wanasema bidhaa inaanza na ujazo wa 3BV, 5BV, 10BV n.k... Bidhaa zenyewe ni kama hizo ulizosema! Saa, vipodozi, vifaa vya majumbani n.k... Halafu eti utapata kutokana na watu utakaowaleta nao wajiunge kwenye hiyo QNET Yao! Eti wakaniambia kuna Jamaa alikuja juzi Tu Ila sasa hivi ameshanunua gari...
  8. P

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Yaan Wana mambo ya kishamba Sana hasa Yale maneno meengi
  9. P

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Sawa! Ila mkuu, tofautisha ubongo na akili/uelewa. Kila mtu ana ubongo Ila sio kila mtu ana akili/uelewa sawa. Ubongo ni kama memory card! Memory card ni kifaa ambacho unapokea na kuhifadhi vitu kama picha, nyimbo, videos n.k... Pale memory card unaponunua inakuwa haina kitu kabisa! Sasa...
Back
Top Bottom