Search results

  1. M

    Kati ya mabango yaliyopita kwenye Mei Mosi, ni kwanini hakuna hata bango, lililokemea ufisadi mkubwa uliofanywa Serikalini wa mabilioni ya shilingi?

    Kuna kujipendekeza ambako kunagharimu maisha ya watu wengi. Ishu ya mabango ni kama iliratibiwa na serikali.
  2. M

    Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Kama kweli, kuna shida kwenye taasisi za kifedha, taratibu zinasema mtumishi hasikopeshwe zaidi ya 40% ya basic salary yake. Nachojifunza hapo ni pale unapoajiriwa tu anza kujiwekea akiba angalau 10% ya basic yako kila mwezi itakusaidia. kwa take home hiyo hawezi kulipa ada za watoto kama wako...
  3. M

    Wasafi Media waandaa futari Bungeni

    Watu wanamalengo yao, ukitafakari sana utaona kuna kitu kikubwa wamekipata. Pia wamefuturisha masikini maeneo ya Mburahati. Kwa bunge wamefanikiwa kibiashara sana.
  4. M

    Naomba kujuzwa namna ya kutoa pesa Western Union

    Moneygram/western union wanafanya, nenda na namba ya nida utapata huduma.
  5. M

    Naomba kujuzwa namna ya kutoa pesa Western Union

    Ndio unaweza kupata(kupokea na kutuma), zingatia kuwa na taarifa muhimu ulizojaza wakati unajiandikisha kama majina ya mama, namba ya simu uliyoweka wakati unajiandikisha kupata kitambulisho, kata/mtaa/wilaya uliyojiandikishia, shule ya msingi umemaliza mwaka gani na inaitwaje. Ukipata swali...
  6. M

    INAUZWA Tunauza Simu, Music system, laptop na home Theater

    hii radio ya kizamani sana haindani na wakati tulionao.
  7. M

    Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Katiba ya shirikisho haisemi majority ndio wamchague. Bali inasema ni uongozi ndio unateua. Tofautisha kati ya kuchagua na kuteua. Steve ajachaguliwa bali ameteuliwa kuwa msemaji. Kwa hiyo usiwalaumu wasani kuhudhuria kwa sababu hawakuhitajika kwenye tukio hilo kikatiba. Mbona wakati wanampigia...
  8. M

    Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Raisi wa nchi, au waziri anapoteua bodi fulani ya wakurugenzi ni sisi ndio tumeteua? Mbona teuzi nyingine huwa tunalalamika kwamba hapa hawajatutendea haki kumteua fulani!! Ishu si kupendekeza mtu kutoka majority. Wasanii walishafanya kazi kuchagua viongozi wao. Wajibu wa viongozi ni kuteua...
  9. M

    Hivi tukiacha ushabiki, Diamond Platnumz anamuweza kweli Hamornize (Konde Boy)?

    Ila namba hazidanganyi kwenye platform mbalimbali na zile unazoziona nzuri namba ziko chini sana!!
  10. M

    Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Ishu siyo kwenda, hiyo ni cabinet iliyopewa nguvu na baraka za wasanii kuteua mtu anayefaa. Cabinet hiyo inaundwa na wakina Asha Baraka, Mzee yusufu, Fid Q, na ..... Hao ndio wenye nguvu ya kupendekeza na kuteua na siyo wasanii wote kwenda kuchagua. Tuelewe kwanaza maana ya shirikisho na...
  11. M

    Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Diamond anasema tusishindanishwe ndani ila tushinane na wasanii wa nje, lengo ni ku-win soko la nje. Kumshindanisha Diamond na WIZKID ni sawa, ALI KIBA na WIZKID ni sawa, KUSA na wizkid, Nandi na YEMI ALADE. Hata katika mpira hatuwezi tukawa tunaishia tu yanga na simba, lazima tupambane...
  12. M

    Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Diamond ndio ananyimbo nyingi zinazopigwa club kwa wasanii wa ndani, nyimbo zake zinapigwa sana kwenye sherehe mbalimbali, zinapigwa mashuleni jaribu kuangalia hata vipindi vya watoto kwenye TV nyimbo gani zinazopigwa? EP mpaka sasa inazaidi ya streams 30,000,000. Imebuma kivipi? Tujifunze...
  13. M

    80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

    Sio kweli, nilishakutana na pisi moja kwenye hotel moja walikuwa wanapiga muziki wa bendi yupo narafiki yake wanapiga kinywaji. Kadri kinywaji kilivyokolea nikawachokoza na tukakaa meza moja. Tulibadilishana namba na bill walilipa wenyewe. Kesho yake nilimtafuta akaniambia nipo kazini njoo...
  14. M

    Gharama za ujenzi TZS 13M

    Ni sawa kwa bajeti ya boma
  15. M

    Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

    Diamond yupo sahihi kabisa, waliochaguliwa kusimamia TUZO ni watangazaji na wadau wa radio kubwa ambazo hazipigi mziki wa WCB, wewe unategemea nini? Je kuna msanii wa WCB alipata mrabaha na tena wapo formal kabisa. Unajua kwa nini TUZO za East Africa Radio zilikufa? Tanzania wivu na majungu.
  16. M

    Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

    Kitu ambacho Wakazi hajui ni kwamba, uzuri wa kitu kipo kichwani mwa mtu na hata uzuri wa sauti upo masikioni mwa mtu hivyo asilazimishe kile anachosikia yeye , ubaya anaousikia yeye ndio uzuri anaousikia mwingine. Ni sawa na msichana mrembo unamtambua pale unapomuona, mwingine atamuona mbaya...
  17. M

    Ukiwa kiongozi makini hapa Afrika ukasimamia haki na maslahi mapana ya taifa lako uhai wako unakuwa hatarini

    Unachosema ni kweli lakini ulitakiwa useme pia nini kifanyike Afrika kuondoa tatizo hili.
  18. M

    Miji iliyokua zamani ila sasa imezeeka

    Nimefanya kazi Tanga, mpaka sasa kwanini Tanga ni jiji!! Nahisi siasa ilitumika sana kuhalalisha kuliko uhalisia.
  19. M

    Ngoma ya Essence ya Star Boy imeuza mauzo ya Double Platinum ndani ya U.S.A

    Sisi tunashushana sana, Mondi katoa EP ila baadhi ya wasanii wenzake wanailinganisha na album ya Kiba kitu ambacho kinakuza mjadala usio na uhai kwenye mziki. Jitihada anazozifanya diamond zitajulikana badae sana. Leo Rayvan ndio msanii pekee "anayepafomu" kwenye majukwaa makubwa duniani.
Back
Top Bottom