Search results

  1. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Haswaa! Huu ni wakati wa viongozi kufanya kazi kwa reason na siyo experience.Experience ya vitisho vyao ndo imetufikisha hapa.Pamoja sana madaktari na mzidi kukaza uzi.
  2. M

    Mwakyembe aipasua serikali; Pinda amtaka azungumzie hali yake!

    Siku zote naamini kuwa Pinda alipewa u- PM kwa sababu hakuwa na makandokando,lakini ukweli ni kuwa Pinda si kiongozi mzuri.Wananchi wanalia, walimu wanalia, madaktari wanalia nk halafu anaunga mkono ongezeko la posho kwa wabunge.Huyu si mtoto wa mkulima bali ni mtoto wa posho.
  3. M

    Kwa nini wadada mkipewa lifti, mnatoa namba hata kama hamjaombwa?

    Nafikiri kuwa ni vigumu kwa mtu ambaye amekuamini na akakupa lift kisha akunyime namba ya simu.
  4. M

    jaman tumsaidieni huyu amekata tamaa ya kuishi kabisa

    Hapo ndo utagundua ni jinsi gani sisi ni kizazi cha nyoka.Haimithiriki kwa mtu kuwa mgonjwa au kuwa mlevi halafu wanajamii wanaanza kushikana ulozi badala ya kushikana akili juu ya nini kifanyike ili muathirika arudie khali yake ya kawaida. Ushauri wangu:kwanza, huyo baba yetu anatakiwa...
  5. M

    Nawashukuru na kuwapongeza wana-CCM hapa JF, wana-CHADEMA hapa JF tuige haya....

    Kimsingi si busara na ni ukame mkubwa wa hekima kuanza kumbeza marehemu kwasababu ati alikuwa wa kundi fulani na hivyo hakuwa mwenzetu.Kama kweli kuna mwana- cdm au hata mtu baki katuma hizo threads basi atambue kuwa hajamtendea haki marehemu.Na hiyo ni sawa na wanafamilia kuanza kujadili suala...
  6. M

    Gari la Sugu lawaka moto na mbunge Silinde anusurika kufa

    What a curse! Ee muumba wa mbingu na nchi tuondolee hili janga.
  7. M

    Farewell-Kwaheri Regia: A Tribute Page

    Regia ni mshumaa uliokuwa umeaanza kuwaka na kuangaza ndani ya nyumba ghafla ukazimika.Ni mengi mazuri aliloyaasisi na kuyasimamia. Hivyo ni jukumu letu kuyaenzi na kuyasimamia pia.
  8. M

    Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

    Ni msiba mkubwa kwa taifa.Mungu amlaze pahali pema peponi.Amen.
  9. M

    VVU & Sheria

    Zingatia ukimwi ulivyoenea na unavyozidi kutafuna nguvu kazi ya Tanzania je, bunge likitunga sheria ya kuwa kila wawili wanaotaka kufunga ndoa wapimwe afya zao juu ya VVU sheria hiyo itakuwa halali? kwa maslahi ya nani?. Na kama haitakuwa halali ni kwa maslahi ya nani?
  10. M

    Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake?

    Kama alivyo waziri wa wizara maalum vivyohivyo majukum. yake ni maalum yaani mchuma janga hula na wa kwao.
  11. M

    DARUSO pamenuka, UDSM kugoma...

    Hivi vyuo vikuu Tz kunani? Na je, tume iliyoundwa na rais wa Tz kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya vyuo vikuu haikutoa ufumbuzi wa kweli? Ushauri wangu:tatizo la udsm titafutiwe ufumbuzi wa haraka na usiwe ufumbuzi utakaowaathiri wanafunzi.
  12. M

    Muhoja-Venture

    Hodi wana JF! Hakika nimelikubali jukwaa hili hivyo nipokeeni kwa mioyo mikunjufu.
Back
Top Bottom