Search results

  1. Tayson7

    Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Kwel kabisa mkuu yalishanikuta kunadogo alikuwa mkoan sasa mimi likuwa kwenye kampun frani ya bas dogo alinitinga sana nimtafutie kaz yoyote kwenye kampun hadi baba yake alikuwa ananitinga sana nikaona sio kes dogo nikamsogeza sasa kilichonikuta Mungu anajua
  2. Tayson7

    Nadhani kuna tatizo kubwa Serikalini na hao viongozi waliochaguana hawalioni

    Alafu sasa mikopo inakopwa hawatumbii inakopwa kwa sababu gan, maji hayatoki lkn bili inatoka dah
  3. Tayson7

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Alafu hapo hapo mkuu jamaa kama anaishi vizur na shemej zake kwa nn asiwaulize kunashida gan?huko singida
  4. Tayson7

    Nilivyokutana na Esta kijijini Mkola

    Hupo Mkwajun mitaa hipi mkuu me nipo Mkwajun
  5. Tayson7

    Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

    Huyu mganga wako anapatikana wapi?
  6. Tayson7

    Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

    Kwel kabisa mkuu tena wamewaacha mbali sana,kwaiyo saiz wasanii wanavyo futulisha watu namacamera kwaiyo huo ndio uislam?
  7. Tayson7

    Swali la kizushi; Kwa nini umtendee mwenzako mabaya?

    Mkuu naona ww nimgeni wahaya mambo mtu anakuroga bila sababu yoyote,
  8. Tayson7

    Nashindwa kumuacha sijui ni dawa?

    Mkuu huyo ndio wife wako hakuna dawa wala nn
  9. Tayson7

    Je hii kitu inawezekana?

    Dah mkuu nimecheka sana kwa jinsi ulivyo mkazia mwana ,,,hHaaaaa hakuna mdau inachotakiwa ajibu swal
  10. Tayson7

    Nimekuja kumegewa siri hii baada ya miaka mingi!

    Kwel kabisa mkuu kama mama angetaka kumuua angemmaliza muda wowote tena bila ushaidi
  11. Tayson7

    Kani-snitch nimemuundia tume, nasubiri kama ataendelea kuni-snitch

    Mkuu huyo atakutangaza mtaa kwamba umemla ili taalifa zimfikie wife wako me imeshanitokea hii kitu madem wengine ni machiz mkuu
  12. Tayson7

    Nguvu ya kiroho nyuma yako ndiyo itaamua ufanikiwe au lah!

    Mkuu hii kitu ndio nilikuwa nayo mm miaka mitatu iliyo pita nilikuwa nashinda baa michongo yangu yote inaenda kama kawa mbaka nikafanikiwa nikajenga kunaishu ilinitokea ya kuugua kiajabu ajabu tu nikaacha mtungi kipindi hicho nilikuwa siamin mambo ya kulongwa kabisa lkn toka nimwacha mtungi...
  13. Tayson7

    Ileje: Meneja wa kituo cha kuuza mafuta avamiwa na kuporwa Tsh milioni 25

    Huyo mgambo aliye mlukia jambaz apandishwe cheo
  14. Tayson7

    Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

    Tena nijambo la kawaida sana
  15. Tayson7

    Ukimpata binti bikra muoe Kisha mfungulie duka chap kwa haraka

    Mkuu shida yote ya nn haya makitu sio yakuyaamini hata chembe kuna bro wangu alikuwa na pigo hizo hizo kwa wife wake lkn yaliyo mkuta Mungu tu ndio anajua
  16. Tayson7

    Sina hamu na mahusiano (wamenikata stimu)

    Hii ishawai kunitokea mkuu msela mbaka hakaja,kunionesha video zake jinsi dem alivyo kuwa anajituma wakat kwangu show ilikuwa mbovu kichiz
  17. Tayson7

    Madhara ya kurukwa ukuta kwa wanawake (kuingiliwa kinyume na maumbile)

    Mkuu usije kujaribu hile kitu nikama madawa ya kulevya ukijaribu tu huwezi kuacha
  18. Tayson7

    Tangu nimeoa naona nafaidika sana na ndoa yangu

    Niswala la muda tu utarudi kuomba hushauli
  19. Tayson7

    Hodi hodi,JF

    Naombe mnipokee ndugu zangu mm ni mwanachama mpya
Back
Top Bottom