ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,336
- 22,151
Hapahapa dar nimepata bikra tena katika mazingira ya kutatanisha na ulichokiandika hapa ndio nilichokuwa nawaza kufanya.......Kwa Hali ilivyo ya Sasa aisee inasikitisha Sana tumekuwa Malaya mno yaani wanawake wanajiuza balaa direct na indirect na hasa wake za watu siwadanganyi asee mwanamke ukimsumbua kidogo tu anakupa mzigo Tena ukiwa na chambichambi kidogo utawala Sana.
Solution hapa naona mosi ukitaka kuoa tafuta binti bikra halafu ukimtoa bikra muoe fasta halafu mfungulie biashara ambayo hawezi kutoka mchana kwenda kuzurura na hasa duka au kibanda Cha m-PESA ukitoka kazini Kwako unampitia dukani mnaenda kulala..hio itasaidia Sana na itapunguza risk ya kugongewa kwa asilimia 60..
Ishu hapa Ni namna ya kumpata huyo bikra hapo ndo pakuumiza Kichwa tushauriane wakuu mbinu za kumtafuta bikra.me Nina wazo kwamba unaenda vijijini unaongea na wazee hasa mabibi unamwambia kabisa unatafuta mwali ambaye Ni kigori nina uhakika wanajua wapi pa kuanzia.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app