Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya mapenz ya kwel au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.