Search results

  1. Ishina

    Kampuni ya PAP ilighushi nyaraka kabla ya kuchota mabilioni kutoka Escrow account

    Msome Pasco between lines na Kwa jicho la tatu ndo utamuelewa anamaanisha nini.
  2. Ishina

    Tunauza na kussuply material na huduma za ujenzi Dar na Arusha

    Ntakutafuta tufanye biashara, I hope bei zenu ni affordable Kwa mtaanzania wa kawaida! Sio bei za kifisadi wala za kitaliii....! I'll give you a call very soon.
  3. Ishina

    Nauza mbao za kuezekea (Treated Timbers)

    Weka namba ya simu hapa tufanye mawasiliano! Inawezekana kabsa tukafanya biashara! Mambo ya PM ya nini wakati unafanya biashara halali - weka contacts zako hadharani!
  4. Ishina

    Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

    Itabid nikutafute in private unisadie na mimi
  5. Ishina

    Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

    Hii kitu bado ipo?
  6. Ishina

    Msaada: iPhone Display haioneshi kitu

    Thanks kwa response yako! Kama unajua mafundi wazuri wa kazi hiyo will be highly appreciated
  7. Ishina

    Msaada: iPhone Display haioneshi kitu

    Thanks kwa response yako! Kama unajua mafundi wazuri wa kazi hiyo will be highly appreciated
  8. Ishina

    Msaada: iPhone Display haioneshi kitu

    habari wadau! Msaada wadau, nimeangusha simu yangu aina ya iPhone 4S, na imepatwa na tatizo la display! Inavyoonekana vitu vingne vina- function Kama kawaida. Mtu akipiga simu inaita Kama kawaida na maongezi yanafanyika Kama kawaida, tatizo ni display tu haioneshi kitu, kumetokea Kama three...
  9. Ishina

    Msaada wa internet bure

    Kwa dunia ya sasa? Hakuna kitu cha bure...!!
  10. Ishina

    E133-4 servirce is currently scrambled

    MultiChoice Tanzania Dar Es Salaam Main: +255 22 219 9600. Fax: +255 22 266 7327 Hizo ni contacts za DSTV office, i hope watakusaidia tatizo lako
  11. Ishina

    Ni lini serikali yetu itaondoa habari ya five years experience?

    Mbona kuna job positions kibao serikalini na private sector watu wanaajiriwa bila ya experience yoyote, tena wakiwa wabichi kutoka chuo! Suala la experience inategemea na job positions unayoomba, na haliepukiki! Sasa wewe unataka uajiriwe hata kwenye Managerial positions kama u-director bila...
  12. Ishina

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Heri ya mwaka Mpya Mkuu! Naona jamaa walikuwa wanafunga hesabu za 2013 wakajua tayari bundle yako umeshatumia. Voda siku hizi ni wazi kiaina!
  13. Ishina

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Njunwa wa mavoko, nimejaribu ku-connect hii internet kwenye iPhone (iOS 7), mida flan ya mchana ilikuwa powa, lakini kwa sasa kila nikijaribu inakataa. Nimebadili sever kibao, lakini bado bila bila. Msaada kwa hii issue will be highly apreciated. hapaa inaonekana kama vile hivi
  14. Ishina

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    Njunwa wa mavoko, kwenye ile tutorial ya iOS, nikijaribu ku-download file config files linahitaji password, msaada kwenye hili.
  15. Ishina

    4GLTE from smile communication

    Hapo kwenye red panahusika saana. Cant wait for that...:heh:
  16. Ishina

    Unaweza kushare VPN Pdproxy network kwa WiFi?

    mimi nimejaribu kutumia hiyo mhotspot, and then nikajaribu na mypublicwifi lakini zote zimekataa. Inaonyesha simu yangu imekuwa connected na signal za internet zipo full, lakini nikijaribu kufungua page yoyote inakataa. Msaada tafadhali. Simu ninazotumia ni iPhone4 pamoja na iPhone4S.
  17. Ishina

    Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    Njunwa wa mavoko salute nyingi saana kwako! Nilikuwa kwenye hizi internet za kupima kwa vibaba za hawa jamaa, na tunadanganya ni unlimited kumbe uzushi mtupu. Kama kuna mtu anataka unlimited internet ya ukweli, hiii ndo yenyewe! Mimi nimeikubali, hii ni wiki ya pili sasa natumia kitu unlimted...
  18. Ishina

    English learning thread

    To mama wawili and other members who are interested to improve their English comprehension. I find this site very useful and would like to share with you guys. Please CLICK HERE Cheers, Ishina.
Back
Top Bottom