Search results

  1. Africanism

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wadau Hizi Kazii za Magereza naonaa Wamesemaa Wanahitaji watuu Wa afya Diplomaa ,,Je Magereza Wana Hospital zao ??Inakuaje hapo Wakurugwa mnisaidie Ni kama Polisi na hospital zao
  2. Africanism

    Aliyepata Muongozo wa kujitolea kutoka wizara ya afya atume tafadhali

    Nielekeze Basii kuhusiana Maswalii Yangu Mkuu
  3. Africanism

    Aliyepata Muongozo wa kujitolea kutoka wizara ya afya atume tafadhali

    Mimi sijauelewa Hapo ,,Ndoo maana nikauliza Maswali Yangu hayo kupataa Ufafanuzi katika Sehemuu hizoo nilizouliza mkuu
  4. Africanism

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Huu Muongozoo(Program) ya Kujitolea ambao meutoa Kwa wataalum wa afya Utekelezaji Wake Utakuwa Lini ? Au Mtatoa Tangazoo la Watu Waendee Kujitoleaa au Utapelekeka Barua za Maombi katika Hospitali &Kituo Husika ambacho Ungependa Kujitolea Hapo ,Wizara ya afya au .Baadhi Ya Hospital zitatangaza...
  5. Africanism

    Aliyepata Muongozo wa kujitolea kutoka wizara ya afya atume tafadhali

    Huu Muongozoo Wa Kujitolea Utekelezaji Wake Utakuwa Lini Unakuwa Lini au Watatoaa Tangazoo la Watu Waendee Kujitoleaa au Utapelekeka Barua za Maombi katika Sehemu Husikaa ambayo Ungependa Kujitolea hapo Inakuaje Wadau hapo msaada wakuu
  6. Africanism

    Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    Aisee hii Program Inaanzaa Lini kunaa ndugu Yangu ame graduate mwaka huu anatakaa Kujuaa inaanza Linii Ili aendee Kwenye hii program Ya Kujitoleaa
  7. Africanism

    Clinical officer (ofisa tabibu) looking for job opportunity

    Mbonii Wamebadilisha Linki Tenaa wadau wakatii wengi tunatafutaa Kazii inaandikaa ime sha Expire Imebadilishwa tumenii basis hiyoo link na Sisi tuweze kupataa na Kama Kuna CO graduates (Wahitimu tuambiane ) ili Tuweze kupeana Connection kama kunaa group lipo telegram
  8. Africanism

    Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

    Rais Anafunguaa Milangoo ya Demokrasia wewe anatakaa kurudisha mahusiano mazuri na nchi jiranii ,,Maana ukiangaliaa nchi kama Rwanda inatutegemea sana katika sector ya usafirishaji kwa Upande Wa Bandari kwa hiyo pakiwepo mahusiano mazurii wataendelea kutumia Mandarin yetu Dar es salaam ilaa kama...
  9. Africanism

    Clinical Officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea

    Ni Kweli Kabisaa Taaluma Siyoo za Kuhangaikaa ilaa kwa sasa Kunaa clinical officer wengii sana vyuoni na wengii wanaipenda Sana hii fanii na ndio imepelekea Hataa Kwenye Soko LA Ajiraa kuwa gumu tofautii nazamanii
  10. Africanism

    Clinical Officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea

    Hapana Usiseme hivyoo mkuu sasa hivii hataa kupataa sehemu za Kujitoleaa ni connection hazipatikanii kizembe na siyoo sehemu zote wanaruhusu watu kujitolea mkuu
  11. Africanism

    Clinical Officer natafuta hospital ambayo naweza kujitolea

    Embuu Jaribuu Kupelekeka katika Hospital ya Amana au Temeke Huwa wanaitaa walee ambao wanataka Kujitolea
  12. Africanism

    Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

    Nashukuru Ilaa Kutahirii Sifahamu kwa kweli nisiwe Muongo
  13. Africanism

    Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

    Hapana Mkuu sisi Huwa Tunafahamika hivyo Kama Afisa Wauguzi 11 ndio Jina letuu hilo
  14. Africanism

    Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au...
Back
Top Bottom