Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

Africanism

Member
Jul 29, 2021
15
1
Habari za wakati huu wanajamii?

Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja.

Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au sehemu ambayo naweza nikajitolea nikapata helaa ya kuendesha maisha.

Naomba kama unaweza kuniunganisha na fursa ya kazi unicheki PM.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom