Search results

  1. K

    Tangazo la ajira za muda tume huru ya uchaguzi

    wasio na ajira wanaweza haribu sababu ya uzoefu
  2. K

    Info: 9077 Designation not found in your Organization

    Info: 9077 Designation not found in your Organization @ ina maana gani kwenye mfumo wa ess.utumishi.go.tz katika section ya Vacancy Transfer
  3. K

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    soma sheria za mtandao hizo hapo kafungue kesi mahakamani
  4. K

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    https://www.parliament.go.tz/polis/uploads/bills/acts/1452061463-ActNo-14-2015-Book-11-20.pdf
  5. K

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    pole sana soma terms and regulations kati yako na credit land,kisha utapata pa kuanzia huo ni uonevu na nenda kawafungulie kesi ya cyber crime maana wameingilia privacy yako
  6. K

    PSRS aptitude test experience

    utaratibu upo vizuri sana ila wasije wakaweka mtu afanyie nyumbani
  7. K

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    harusi mil 20 sadaka unatoa elfu kumi na mbili ubatili mtupu
  8. K

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    tupia kapicha tuone DP world wanavyo pewa vitu vya TPA pia tupe orodha ya wafanyakazi wa TPA waliogoma kwenda DP WORLD ,kaka nchi imejengwa kwa misingi ya haki na umoja ,amani epuka maneno ya uchochezi
  9. K

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    NAOMBA OUT WAONGEZE KOZI ZA MASTER KWA UPANDE WA ICT,master of cyber security,block c
  10. K

    Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    huyo awezi kuwa kiongozi ata kwenye familia yake kwanzi ni mtu anaye pandikiza chuki katika jamii pia huyo labda awe mbunge wa twitter uku buza atumjui
Back
Top Bottom