Search results

  1. Baba Catty

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Labda kulikuwa na hitilafu kwenye Transformer mafundi wa TANESCO wakawa wanatatua tatizo ikabidi kukata umeme sehemu husika kwa muda.
  2. Baba Catty

    Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Delta Force 3 Nam Angels Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  3. Baba Catty

    Kwa wapenzi wa Single Movies za kizungu tu. Taja Movies mbili kali kuwahi kuona katika maisha yako

    Delta Force 3 Nam Angels Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  4. Baba Catty

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wanachukua matokeo ya mechi ya juu yake
  5. Baba Catty

    Natafuta nyumba ya kulinda Arusha hata kama ina mauzauza

    Hujasoma uliishia form 6 tu. Duuh!! Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  6. Baba Catty

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    2 Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  7. Baba Catty

    Hivi shule ya msingi Walimu hufundisha namba witiri ni yenye kugawanyika kwa tatu?

    Huyo mwalimu kawapotosha namba witiri sio inayogawanyika kwa 3. Mfano 5 na 7 ni witiri lakini hazigawanyiki kwa 3. Ili ueleweke vizuri ni sawa kuwaambia ni namba inayogawanyika kwa mbili na kubaki moja kama ulivowaambia.Lakini vipi mwanafunzi akikuuliza mbona 1 ni namba witiri lakini...
  8. Baba Catty

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huwa hawaweki opt ya kona kwenye kila mechi sababu ni rahisi sana kuoanga matokeo kupitia kona au hata opt ya kadi.
  9. Baba Catty

    Kazaa na Mwingine Mtoto kanipa Mimi! Je nimkubali au nikatae?

    Mwambie mtoto wewe sio Baba yake Mzazi.
  10. Baba Catty

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    I need a backup MIXOLOGIST do you copy?
  11. Baba Catty

    Kwa anayejua ufaulu unaohitajika Ilboru, Kisimiri au Tabora boys

    Sio Zamani Sana Kama 11 Years Back. Anaweza Kupata Nafasi Ya Special Schools Coz A Za Phy Zimekuwa Adimu Sana Miaka Ya Karibuni. Mwaka Jana Kuna Dogo Alikuwa Na Iyo Iyo CAA Na Akaenda Special School.
  12. Baba Catty

    Kwa anayejua ufaulu unaohitajika Ilboru, Kisimiri au Tabora boys

    Sio Kweli Atapata Me Nilienda ILBORU Na ABA Miaka Iyo Sembuse Mwaka Huu Ambao A Za Phy Zipo Chache Sana.
  13. Baba Catty

    Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Mtu akifeli darasa la saba ndio dhaifu kitaaluma? Si alirudia na kufaulu vizuri. Mbona watu mbalimbali bora kabisa kwenye sekta zao walifeli na kurudia na wakafanya vizuri sana. Yote kwa yote maelezo mazuri inatakiwa uchunguzi wa hali ya juu CWT.
  14. Baba Catty

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumekusikia
Back
Top Bottom