Search results

  1. Mboju

    Wale wapenda muvi zilizotafsiriwa pia na mechi live hii hapa App yenu

    Leo nime kutana na hii app Ina muvi ZILIZO TAFSIRIWA pia inaonesha mechi live nawewe unaweza kuijaribu, App IPO playstore link yake hii hapa ibofye kuipakua [emoji117][emoji117]Nijuze Tv - Mpira - Apps on Google Play
  2. Mboju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nyie huyu jamaa wa Twitter mbona ni moto
  3. Mboju

    Naomba anayejua kutengeneza matangazo ya Facebook Kwa kutumia iron source anisaidie

    Wakuu habari za mida hii, Nina app yangu tayari ipo Play store ila nahitajj kuweka ads za Facebook ila nimeshindwa, mfumo wa app unahitaji matangazo ya Facebook yaunganishwe kupitia iron source ndo niweke code za iron source kwenye app kitu ambacho nimeshindwa Tafadhali mwenye uelewa na hili...
  4. Mboju

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu ni site gani nzuri ya kubet live football nyingi naona miyeyusho
  5. Mboju

    Hii hapa App inayorusha mechi za Kombe la Dunia na Za Kibongo

    PC na smart Tv mambo ni safi Kwasasa
  6. Mboju

    Hii hapa App inayorusha mechi za Kombe la Dunia na Za Kibongo

    Hapa hakuna janja janja mi mbona sikupigwa
  7. Mboju

    Hii hapa App inayorusha mechi za Kombe la Dunia na Za Kibongo

    App yoyote iliyo nje ya play store lazima wakuletee ujumbe huo
  8. Mboju

    Hii hapa App inayorusha mechi za Kombe la Dunia na Za Kibongo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa upande wa bando aisee ni Hela yako tu
  9. Mboju

    Hii hapa App inayorusha mechi za Kombe la Dunia na Za Kibongo

    Habari za mida hii wadau wote wa Jamii Forum hasa wapenda Mpira kama mimi. Katika pita pita zangu nimekutana na App safi kabisa inarusha mechi zote za Kombe la Dunia pia na Mechi za Bongo kiukweli app Iko poa Ina Chanel nyingi hasa za super sport na Bein sport pia Azam sport 1 Unaweza...
  10. Mboju

    Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    [emoji3166][emoji3166]
  11. Mboju

    Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Hujui ukiongeacho natamani yakukute ndo ujue kuwa inauma kiasi gani
  12. Mboju

    Nimeumaliza mwendo kwenye haya mapenzi

    Kama hujawahi kuwaelewa wanawake basi kuanzia leo waelewe wenzio Hadi watoto tuliachiwa tupo tunalea tu[emoji23]
  13. Mboju

    Tunaweka matangazo ya Admob kwenye blog site bure

    Je, umeomba adsense umenyimwa au una blog ya Kiswahili unahitaji ads? Basi hapa umefika tunakusetia matangazo ya admob yanasoma kwenye site / blog na yanaonekana vizuri tu na unapiga mpunga kama kawaida kama wenye App. Nitext 0743592110 nikutumie codes japo unaweza kulipia hela ya bando hata...
  14. Mboju

    SIMBA SC VS PAMBA SC mechi unaweza kuitazama Hapa

    Habari za wakati huu wadau wa Jamii forum, baadae mida ya saa moja kutakuwa na mtanange kati ya Simba ikiwakaribisha Pamba fc hivyo tumekuletea App itakayo kuwezesha kuitazama mechi hii live kupitia simu yako. Pia ukiwa na App hii utaweza kutazama chanel zote za mpira na tamthiliya ziwe za...
Back
Top Bottom