Search results

  1. skyline tech

    Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

    Katika kusoma soma riwaya za kisasa zaidi za karne hii nimetambua kuna waandishi wazuri na wenye hadithi tamu wanafanana namna ya kuandika simulizi zao, maudhui yote kwa ujumla. Kuna George Iron Mosenya jamaa ni fundi sana huyu ila uandishi wake unashabihiana na wa ABASY MZIGUA na ELIAS...
  2. skyline tech

    COMPUTER MAINTENANCE

    TAHADHARI: [emoji599][emoji599][emoji3544][emoji3544][emoji3544][emoji117]Je unajua unatakiwa Kuzingatia Mambo Muhimu haya Wakati wa Kununua Betri kwa Ajili ya Laptop yako? 1. Aina/ Model ya Betri husika, Hakikisha Model ya Laptop yako inaendana na Betri unayotaka kununua, mara nyingi Model...
  3. skyline tech

    Computer Maintenance

    Changamoto hii kwa kiwango kikubwa husababishwa na mambo yafuatayo kwenye Kompyuta yako. 1.Uwepo wa tatizo/msuguano wa “Hardware” kwenye Kompyuta. 2. Kompyuta kuwa na joto saana. 3. Kuharibika kwa HDD kwenye Kompyuta husika. 4.Kutokuwepo kwa RAM yenye uwezo mkubwa/RAM kushindwa kufanya kazi...
  4. skyline tech

    Skyline tech

    Habari wadau wa jamii forums leo nimejiunga rasmi naomba mnipoke Nafanya kazi za graphics design, natengeneza computer laptop natengeneza logo, calender, poster za mitandaoni, busines card, card za harusi, n.k Kwa mawasiliano 0687085290
Back
Top Bottom