Search results

  1. Masamakison

    Je utaratibu wa kuunganisha michango kutoka iliyokuwa LAPF na NSSF ukoje?Au ndio tumepigwa?

    Haki yako ipo pale pale. Na hakuna utaratibu wa kuunganisha michango katika mfuko binafsi yaani nssf na wa serikali yanii psssf. Hivyo basi utadai pesa zako mifuko yote miwili unaanza mwanza nssf ukishalipwa ndo unakwenda psssf. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  2. Masamakison

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Toka lini wajita wakawa na pisi kali.??? Utafiti wako umeufanyia wapi maana hata sisi wajita wenyewe hatuko proud na wanawake wetu. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  3. Masamakison

    Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Mkuu wajita unawajua vizuri wwe...! Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  4. Masamakison

    Mwanamke baada ya kukaa naye kwa miaka miwili leo ndiyo kanipa ukweli

    Lakini pia huyo form four si bado mtoto wa shule au toka awamu ya sita imeanza sheria ya miaka 30 imefutwa??? Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  5. Masamakison

    Mwanamke baada ya kukaa naye kwa miaka miwili leo ndiyo kanipa ukweli

    Yaani hujawahi kusex nae kwa kipindi cha miaka miwili??? Mwana una moyo tunaomba tukujengee sanamu pale posta . Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  6. Masamakison

    Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    U need to learn more these things. Before you critisize. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  7. Masamakison

    Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Waliokaguliwa hawana majibu through exit meetings zilizofanyika. Bunge kazi yake ni kupitia na kutoa measures Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  8. Masamakison

    Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Kimsingi huo ni wizi wa wazi kabisa...cha msingi hapo ni utekelezaji wa mapendekezo yake ikiwemo kuwachukulia hatua wahusika. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  9. Masamakison

    Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Mpaka CAG anatoa report kwenda kwenye mihimili ujue hoja zimekosa majibu huko zilikokaguliwa. Baada ya ukaguzi huwa kuna exit meeting ambapo mkaguliwa lazma atoe majibu ya queries zote zilizoibuliwa na mkaguzi. Nadhani wewe mleta uzi ndo hujaelewa vema..punguza jazba. Sent from my SM-G935U...
  10. Masamakison

    Fedha za nchi zinapigwa kila kona. Je, ni unadhaifu wa Serikali au hujuma?

    Tumekubaliana kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake...ila tutosheke!!! Hiii ndiyo donor country bwana.. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  11. Masamakison

    Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    Mimi siyo shabiki wa bongo flavour ila huuu ndio ukweli watu wengi hawapendi kuusikia... Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  12. Masamakison

    Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya Air BnB

    Kinachofanyika kama una nyumba yako unajisajili kwenye airbnb website yao then wao wataitangaza na kukuunganisha na wateja. Payments zinafanyika wao wanapata commission tu. Pia nimeona hapa dar watu wengi wanaofanya biashara hii wanapanga apartments au nyumba za kawaida, wanaziwekea furnitures...
  13. Masamakison

    Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya Air BnB

    Pia unapata huduma zote za msingi...kimsingi ni biashara nzuri kwa sababu wageni wa kutoka mataifa mbalimbali wanaweza kufanya booking ya accommodation kwa muda watakaouhitaji bila dalali. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  14. Masamakison

    Naomba kufahamu kuhusu Biashara ya Air BnB

    Hii unapanga kwa matumizi unayoyahitaji kwa mfano unaweza ukapanga kwa siku, kwa wiki au kwa mwezi. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  15. Masamakison

    Jini/shetani wa pesa na utajiri mwenye asili ya nyoka: Almliyah Alnafedha

    Mkuu tunampataje huyu kiumbe....tupe muongozo. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  16. Masamakison

    Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

    Mkuu umenifurahisha sana kwa mkeo kuongeza maombi...hawa viumbe lazma uwe na akili ya ziada kuwamudu. Mwanamke anatakiwa aambiwe kile anachotaka kukisikia kutoka kwa mwanaume ili mahusiano yaendelee vema na ndio maana wanaume tumepewa koo. Si kila kitu lazma mwanamke wako ajue uhalisia wake...
  17. Masamakison

    Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

    Mkuu hawa viumbe unawaelewa vizuri?? Akili zao siyo kama wanavyoonekana. Mwanamke unamtengeza wewe mwanaume. Akili yake imeumbwa kufata kile anachoambiwa na mwanaume. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  18. Masamakison

    Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

    Umejibu vema kabisa brother... Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  19. Masamakison

    Naogopa kumueleza Mke wangu ukweli kwamba nilichepuka

    Haitaji kujua ukweli kua umechepuka...tafuta askari akutie kabatini kwa muda then ampigie simu mkeo aje akutoe kwa dhamana...kesi ndogo tu hiyo. Ukimnyosheea maelezo umekwisha. Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom