Search results

  1. B

    Hii sio kawaida kwa kweli mawakala wa miamala tunaanza kupata maumivu tartibu

    Nawaslimu kwa jina la jamhuri ya muungano. Mitaani hali ya biashara ya miamala inaanza kuwa mbaya, kwa mfano mimi nina kibanda cha mpesa tigo na airtel, kawida huwa nikufungua asubuhi wateja wanakuja kiujumla kunakuwa na ubize flani, wakutoa, wakuweka nawapata sana tu, leo sasa.hali ni tofauti...
  2. B

    Fremu ya biashara inahitajika

    Mambo vipi wanaJF Mimi nahitaji fremu ya biashara ya kuweka Tigo pesa Mpesa na Airtel money, maeneo ni kuanzia Tabata Barracuda, Sanene, Tabata shule, hadi Segerea au Ubungo Riverside au Tabata Mawenzi, , bajeti yangu ni 100,000 kushuka chini yaani isizidi laki moja, kwa hiyo kama kuna mwenye...
  3. B

    Chumba na sebule kinahitajika

    Specifications:: kiwe ndani ya geti, choo cha ndani, kiwe na mwonekano mzuri yaani kiwe kipakwa rangi ya cream au nyeupe, Location: kuanzia maeneo ya tabata bima, mawenzi, hadi kimanga,au tbt shule na maeneo ya jirani, bajeti yangu 80,000 kwa mwezi, nina uwezo wa kulipa miezi 6,
  4. B

    Hodi hodi wana Jamii forums

    Hodi wadau wa Jamii forums, I hope mko poa, kwa mda mrefu nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali hapa jf bila kupewa access ya kupost au kuchangia jambo lolote japokuwa nimejiunga jf mda mrefu, nashukuru leo nimeweza kuwa approved, hodi hodi kwa mara nyingine, mimi ni ndugu yenu
Back
Top Bottom