Chumba na sebule kinahitajika

Chumba na sebule kinahitajika

blackbobu

Member
Joined
Feb 12, 2021
Posts
28
Reaction score
35
Specifications:: kiwe ndani ya geti, choo cha ndani, kiwe na mwonekano mzuri yaani kiwe kipakwa rangi ya cream au nyeupe,
Location: kuanzia maeneo ya tabata bima, mawenzi, hadi kimanga,au tbt shule na maeneo ya jirani, bajeti yangu 80,000 kwa mwezi, nina uwezo wa kulipa miezi 6,
 
Saa nyingine mnajichelewesha mitandaoni kijinga nenda Tabatha mlipe dalali elfu 5 zunguka nae mpaka upate ghetto.. hayo masharti yako mtandaoni mpaka 2025 hujapata chumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom