Search results

  1. S

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Wenye tafakuri nzuri watajua Jambo leo ni wazushi haijalishi ni watu dini gani, na hao ndo tunaowitaji katika kipindi hiki. (WATU WENYE KUTAFAKARI KWA MANTIKI NA SIO MSUKUMO WA UDINI)
  2. S

    Hii ni aibu ya mwaka..

    Huo ni mwanzo bado ccm watalia sana nasi wanaharakati mwisho wa siku tutaikomboa inchi.
  3. S

    Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

    Ndugu tupe updates achana na hao wajinga wanaoendekeza ujinga hata kwanye issue serious kama hizi. Ni kawaida ya mjinga kumwona mwingine mjinga
  4. S

    Updates kampeni za uchaguzi Arumeru East CCM v/s Chadema

    Du!!!!!!!!! la kuvunda halina ubani CCM ishavunda acha kuwasha ubani unapoteza mda na pesa zako bure
  5. S

    Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao

    We unazungumzia Wameru wa miaka gani? Nafikiri ungesoma alama za nyakati.Wameru wa miaka unayozungumzia hata kuoana walikua hawaoani na makabila memgine waliwaita nyamwesi au idoko.Lakini sio Wameru wa leo wanajua maana ya mawazo mapya na wajibu wao kama watanzania na sio kama wameru.ACHA...
  6. S

    Mabalozi 12 wa CCM Arumeru Mashariki wahamia CDM?

    Hakika mwisho wa siku dhuluma itashindwa na HAKI ITASHINDA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
  7. S

    Naomba msaada wa ku-unlock modem

    Modem yangu ni HUWAHEI ZAIN E-1550 IMEI-352445041717480 Naomba waungwana mnisaidie kupata codes za ku- unlock
  8. S

    Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    Kama zege kalikologa Mkapa kwa kuongelea mambo ya ukoo kwenye siasa. Sasa inabidi zege isilale mpaka kieleweke.
  9. S

    TBC mna bifu gani na CHADEMA?

    Ni wazi kuwa TBC ni chombo cha CCM kilicho vaa ngozi ya utaifa.
  10. S

    Du!! Hivi wafanyakazi airtel ni wezi au?

    Sawa waungwana ushauri wenu nimeupata na ntaufanya kazi.Asanteni sana.
  11. S

    Du!! Hivi wafanyakazi airtel ni wezi au?

    Asante kwa ushauri wako pamoja na kuwa hapa nipo kijijini mbali na ofisi zao.
  12. S

    Original komedy kwishiney

    Labda watakula jeuri yao!!!!!?
  13. S

    BAWACHA kuichelewesha CHADEMA kuingia IKULU?

    Nimekubali maoni yako, yako juu tunaitaji watu wenye mawazo chanya kama wewe ili kuing'oa ccm au kupata mageuzi ya kweli.
  14. S

    Du!! Hivi wafanyakazi airtel ni wezi au?

    Mie nimeshidwa kuelewa kuhusu airtel money.Nilitumiwa sh.19,000 kwenye lain yangu ambayo ilikua ya zamani haina sehemu ya airtel money.Hivyo ikabidi kutengeneza lain nyingine yenye sehemu ya airtel money namba zilezile cha ajabu baada ya kuangalia salio langu nakuta sh.800 ambavyo sijawahi...
  15. S

    Wanaume wote wa JF someni hii,mmoja wenu ndo kafanya haya

    usihukumu au kulaumu kwa kusikiliza upande mmoja. kila muwamba ngoma huvutia kwake. TAFAKARI!!!?
  16. S

    Mpeni ushauri mwanaume huyu

    huo nii upu***fu usiofaa kuelezwa katika jamii,wewe au yeye ni mwanaume maamuzi anayo nafsini mwake, kuacha au kuvumilia na asiseme ni kujishushia hadhi.
  17. S

    Mukama, Lowassa wamchefua JK

    inashangaza watanzania wanzangu msivyoweza kugundua mchezo tunaochezewa na ccm,mwisho wa siku viongozi wa ccm watasimama jukwaani na kumnadi LOWASA kama mtu safi na mgombea halisi wa uongozi wa chama na sirikali!! sijui mtaficha wapi nyuso zenu.POLENI KWA KUTOGUNDUA NYAKATI NA KUJIAANDAA...
  18. S

    Chadema hakujiandaa kabisa

    unachosema kina ukweli ndani yake lakini kumbuka kufanya makosa ni njia ya kujifunza
  19. S

    Shekhe Yahya alitabiri haya jamani...

    mh! hayo mageni?!! kuna mwaka ambao watu maarufu hawafi?
  20. S

    Hadhi ya CCM imeshuka sana Wilayani Monduli!!!

    hayo ni mawazo yako tu, tusubili wakati utasema
Back
Top Bottom