They are people who are very observant. Yaani yeye ana uwezo wa kusoma energy ya mtu na akajua una shida gani, anakuona hauna issue au umepoteza direction kwenye maisha yako ndio maana anakushauri utafute kitu cha kufanya.
You are lacking something inside of you and you are seeking it outside...
Inategemea sana na aina ya ngozi yako na mahitaji yako.
Zipo nzuri nyingi lakini kina ya oats pamoja na mafuta ya Nazi hii hufanya ngozi kuwa mororo sana pia inafubasha mabaka
Hapana hujaelewa, ngozi uwa inakuwa exposed sana na external factors. Inaweza kuwa inapata shuruba mbalimbali za hali ya hewa na mazingira au changamoto za kibailojia na kupoteza mvuto.
Kwa kutumia viungo vya asili unaweza kufanya ngozi yako kuwaka naturally na kuwa na muonekano wa afya wenye...
Kama umetamani kuwa na ngozi yenye mng'ao unaweza kutumia huu mchanganyiko
Changanya
Manjano 1/2 kijiko kidogo
Maziwa kijiko 1 kidogo
Asali 1/2 kijiko kidogo
Pakaa mchanganyiko kwenye uso na shingoni. Wacha ikauke kwa dakika 20 kisha uoshe kwa maji safi.
#glowingskin #naturalskincare
Kwa kutumia vitu vya asili unaweza kubadilisha complexion ya ngozi yako.
Hii inafaa sana kama umebabuka na jua au unataka kutakatisha ngozi yako
Changanya
Turmeric 1/2 kijiko kidogo
Mtindi kijiko 1 kidogo
Juisi ya limao 1/2 kijiko kidogo
Paka mchanganyiko huu usoni hadi shingoni na uache ukauke...
Psychology ndio inasumbua. Pendo halibadiliki wala halimdai mtu chochote. Kinachojengwa ni mahusiano, muhimu tu ni kutambua unayajengaje hayo mahusiano
Kuna maana na kina kwa hicho unachoongelea,hauwezi kutumia uelewa wako tu kuhitimisha.
Tunahitaji mafunzo na muda kuingia kwenye depth unayojaribu kuilezea kirahisi tu
Kitu nilichojifunza, ni kutojaribu kucontrol kitu chochote kwenye maisha ndipo utajikuta unaenjoy sana. Vinavyohitajika uwa vinachukua center stage na visivyo hitajika automatically vina fall off.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.