Jinsi ya kujitoa katika mapenzi yanayokuumiza

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
JE UNAWEZAJE KUJINASUA KWENYE PENZI LINALO KUNYIMA USINGIZI🤷🏽‍♂
Ni kweli MOYO ukipenda unakuwa umependa but MATESO yanapozidi MOYO huo huo ndo wenye kuamua kuendelea ama kuacha, Kwanza kabisa fahamu jambo kubwa ambalo ndilo hula ufahamu hata kudhoofisha NGUVU YA MAAMUZI nalo ni;
KUMBUKIZI "memories" huyu ndiye adui mkubwa wa NAFSI

Nikiri kabisa UPENDO NI WA MMOJA lakini kuwe na utulivu wa penzi, Kama hakuna utulivu HIYO MAANA YA PENDO NI LA MMOJA ITAKUWA HAINA THAMANI! Watu wengi wamekuwa wakiyachukulia MAPENZI NI KAMA SIASA kwamba UNAAHIDI KWINGI ILA UTEKELEZAJI KIDOGO ili kumpumbaza mtu, Nirudi kwenye Maana ya ujumbe wangu;
Ni rahisi sana kuubadili UONGO kuwa UKWELI kuliko kuubadili UKWELI kuwa UONGO Mahusiano ni FARAJA‍♂ Mapenzi ni FURAHA NA AMANI kwa maana hiyo UKIKOSA FARAJA, FURAHA, AMANI huna haja ya kusema uko kwenye MAHUSIANO/MAPENZI/NDOA maana hayo ndiyo yawezayo kuujenga MOYO hata ukaijuwa THAMANI YA MWENZA WAKO

Kumbukizi ndizo zinazoweza kujenga BOND YA UPENDO ama kubomoa BOND YA UPENDO... Kwa maana hiyo Ukiona umepambana sana KUMLINDA mpenzi wako na unahisi ama kuona haendani na vile Unataka awe njia ni rahisi sana "FUTA

KUMBUKUMBU ZAKE KOTE UNAKODHANI ULIHIFADHI, ACHA KUSIKILIZA MIZIKI AMBAYO MLIISIKIA MKIWA PAMOJA, USIVAE NGUO AMA VITU ALIVYOKUNUNULIA, USIPITE NJIA AMBAYO UNADHANI MTAKUTANA, EPUKA KUSOMA MSG ZAKE ANAPOKUTUMIA, CHAGUA MUDA WA KUPOKEA SIMU YAKE NA KUTOPOKEA" Na mengineyo yanayofanana na hayo

Ulinde MOYO usihisi UPWEKE kwa yeye kutokuwepo, Jipe ushindi kwamba WEWE NI WA THAMANI pamoja na kwamba uliyempenda ameshindwa kujua THAMANI YAKO

Pigania AMANI ya nafsi yako kuliko hata STAREHE YA TENDO LA NDOA maana watu wengi akiona unampenda akili zao hufikiri ni mambo ya kitandani kumbe hilo ni jambo ambalo kwako wala hujawahi liweka kama kipaumbele chako, YAISHI MAISHA YAKUPAYO FURAHA kuliko kuishi kwa kudhani FURAHA ITAPATIKANA KWA NGUVU

Uwapo kwenye PENZI ni lazima upewe AMANI NA FURAHA Ukiona unapigania kupewa wakati ni sheria ya UPENDO kupewa hivyo vitu UJUE HAUKO MAHALA SALAMA
 
Moyo una uhusiano gani na mapenzi? Hii nadharia mi nshashindwa kuielewa kabisa maana nnachojua kazi yake ni kusukuma damu kwa anaye jua uhusiano wake atujuze
 
Psychology ndio inasumbua. Pendo halibadiliki wala halimdai mtu chochote. Kinachojengwa ni mahusiano, muhimu tu ni kutambua unayajengaje hayo mahusiano
 
Jamani sisi wanawake ni wachawi sana. sijakosea ni wachawi mno! Hata km hujui kuroga shoga ako mtu mzima lazima akuume sikio tu.

Km mie muongo tongoza kimdada cha shule na ule mambo kabisaa. Hapa utaacha kiroho safi mda wowote ukitaka. Wala huumii.

lkn utongoze limdada limekomaa limesuuzwaa weee! Linawaza kila siku siku ya kuolewa Km dada na niii....walah utaimba miziki yote usoijua.kisa ulozi wa kupenda.

Haiwezekani mkaka msafi tu ampende rina yuleee!! wa kikwapa eti mpaka ashindwe kula thubutu!!!!!!

Ukifumbuliwa hii siri huyo dada wa dawa utamuona km mavi kabisaaa!
Dawa inapakwa kwenye kiganja cha mganga nyuma. then anakupiga kofi pwaaaa! Zile dawa zote kwishne!

Yaani ghafla utamuona huyo mkeo ananuka kwanza.amekuumiza si kawaida. Akiwa na bahati hutarudi kwake jumla. Au kumuacha bila kitu

je umesumbuka nikupe dawa?
 
Umesahau kuweka namba yako!!
 
Umesahau kuweka namba yako!!
Bwana weee!! Mambo yote humuhumu! Inbox ipo!!! Ysmetoka humu yansjibiwa humu!!!

Msije mkanijaribu kwa kuwaharibia mambo yenu ya kichawi. Na wewe unaweza kuwa mganguzi ndo unawapa hao madada viburi.

Sasa unataka kunimaliza huwezi bwana mchawi nakuhakikishia.
 
Mbona unajihami sana, mi nahitaji huduma yako tu!
 
Jamani sisi wanawake ni wachawi sana. sijakosea ni wachawi mno! Hata km hujui kuroga shoga ako mtu mzima lazima akuume sikio tu.

Km mie muongo tongoza kimdada cha shule na ule mambo kabisaa. Hapa utaacha kiroho safi mda wowote ukitaka. Wala huumii.

lkn utongoze limdada limekomaa limesuuzwaa weee! Linawaza kila siku siku ya kuolewa Km dada na niii....walah utaimba miziki yote usoijua.kisa ulozi wa kupenda.

Haiwezekani mkaka msafi tu ampende rina yuleee!! wa kikwapa eti mpaka ashindwe kula thubutu!!!!!!

Ukifumbuliwa hii siri huyo dada wa dawa utamuona km mavi kabisaaa!
Dawa inapakwa kwenye kiganja cha mganga nyuma. then anakupiga kofi pwaaaa! Zile dawa zote kwishne!

Yaani ghafla utamuona huyo mkeo ananuka kwanza.amekuumiza si kawaida. Akiwa na bahati hutarudi kwake jumla. Au kumuacha bila kitu

je umesumbuka nikupe dawa?
Nipe hiyo dawa
 
Back
Top Bottom