Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,830
- 2,881
Duh..!! Mbona umri mdogo ? Acha unoko, hasira na uchoyo, sura itakunjuka tu.25 mkuu
Duh..!! Mbona umri mdogo ? Acha unoko, hasira na uchoyo, sura itakunjuka tu.25 mkuu
Ni mwanaume au mwanamke huyo kiumbe ?Una miaka mingapi mzee kaka???
Kuna baadhi ya mafuta au cream zinaweza kusaidia au home remedies.
Lakini jaribu kurelax kidogo na kunywa maji mengi pia
Mr. bean mbona handsome tùuMTU unakuta una sura kama Mr bean aisee ni kisanga